Polisi wapo nje ya Ukumbi wa Bunge wakimsubili Mnyika wamkamate!

Nimeomba sana kila mara kuwe na mahali maalumu pa kuwatukana watu wanaotukosea lakini Mods wamekaa kimya, sasa haya ni maisha gani ya kuwindana namna hii? Pumb...fu zao kabisa
Hilo naliunga mkono.
Ukishamtukana unam-tag aje aone tusi hilo akijibu unamupa tena!
 
ninachoshukuru tu ni kwamba wameshajulikana kwa hiyo hakutakuwa na cha mabwepande tena
 
kuna taarifa ya kwamba polisi wapo nje ya jengo la bunge kwa ajili ya kumsubili mnyika akitoka bungeni wamkamate.
source: waliopo dodoma

Kamanda kukamatwa maana yake ni kuwa anafanya kazi. Vinginevyo asingekamatwa... Huwezi kufikisha kisu kwenye mfupa wa mkubwa ukaachwa hivi hivi... Hongereni sana makamanda kwa kazi nzito mnayofanya!
 
Mmh! yaelekea hao policcm wa dodoma hawamjui Mnyika maana tangu jana tunaambiwa wanamsubiria nje ya bunge wamkamate sasa inamaana mnyika alilala ndani ya bunge hakutoka?? :confused2:

Labda alipenya kwenye kimlango cha Spika maana Chadema nao bana wana tumambo twao twa uoga uoga hivi :happy:
 
Hilo naliunga mkono.
Ukishamtukana unam-tag aje aone tusi hilo akijibu unamupa tena!

Wakuu kuna Mdau anaitwa BABA V alishaomba sana jukwaa hilo lakini naona mods hawataki! watu tusingekuwa tunapigwa BAN,kuna ban nyingine tunatafutiwa na wapuuzi flani humu!, kungekuwa na jukwaa hilo,mtu akikuboa tu unamvutia huko unamalizana nae kimyakimya, liwepo hilo jukwaa hata kwa kulipia poa tu!
 
Back
Top Bottom