Polisi wapo nje ya Ukumbi wa Bunge wakimsubili Mnyika wamkamate!

Polisccm kazi Yao ni kudill na upinzani tu(Chadema),watakumbuka kutuletea maendeleo kweli au patashamiri migomo mingi zaidi.
 
nashauri twende dodoma kuwazuia polisi wasimkamate kamanda wetu. wanafunzi wa udom tokeni kwa wingi ss hivi!
 
Uzi ungesomeka vizuri kama ungekuwa hivi:POLISI WAKO NJE YA UKUMBI WA BUNGE WAKISUBIRI KUMTEKA MH. MNYIKA.
 
Mi nafikiri Nchimbi anataka watu waichakachue roho yake so soon, aachane na ujinga ujinga wake na chuki binafsi, afanye vitu seriously, kwa haki na taratibu za kistaarabu, sio kuforce na kujifanya mbabe, watu watampoteza
Wanaacha kutukamatia wezi waligawana nyumba za serikali, wanahangaika na raia wema.

Kazi kweli kweli hawa polisi chini ya Nchimbi tutaona mengi sana
 
kuna taarifa ya kwamba polisi wapo nje ya jengo la bunge kwa ajili ya kumsubili mnyika akitoka bungeni wamkamate.
source: waliopo dodoma

Watakuwa ni polisi wa Ulimboka, hata hivyo hawa polisi wote si wakuaminika sasa hivi, wana aim ya wale wa Ulimboka
 
Mmh! yaelekea hao policcm wa dodoma hawamjui Mnyika maana tangu jana tunaambiwa wanamsubiria nje ya bunge wamkamate sasa inamaana mnyika alilala ndani ya bunge hakutoka?? :confused2:

labda at afuwe mtu wa kumsaliti kwa kumbusu,kama alivyofanya Yuda!
 
Jana walishindwa kumkamata maana habari za kiinteligesia zimesema Dodoma hakuna Mwabwepande, sasa watampeleka wapi! si unajua wanyama hawa ?
 
Ndo upumbavu wa siasa.
Napajua ukaapo, ndipo penye kiti cha enzi cha shetani; nawe walishika sana jina langu, wala hukuikana imani yangu, hata katika siku za Antipa shahidi wangu, mwaminifu wangu, aliyeuawa kati yenu, hapo akaapo shetani.

nimeipenda hii,inareflect uhalisia wa mambo!
 
Back
Top Bottom