Polisi wapewa msaada wa viatu na NGO ya Korea, aibu?

Najiuliza kama hili linawakera waandishi wetu wa habari. Sijaona mantiki ya crew ya tv kwenda kukava tukio la kukabidhi msaada wa jozi 150 za viatu kisha kutoa takriban dakika 3 airtime kwenye taarifa ya habari za kitaifa.
 
Khaa! Jamani naomba mtu anisahihishe kuwa hicho alichoshika siyo yeboyebo!! Hivi Tanganyika kuna kitu labda tunakula au kunywa kinatupumbaza bila kujua? Maana huyu m-kwere na wasaidizi/washauri wake ni watu wametoka katika jamii zetu... Rais mzima anapokea msaada wa baiskeli na yeboyebo! Hawezi kutumwa mtu tofauti akamwakilisha, sijui ni kupenda kuuza sura? Yaani inakera, ningejua nisingesoma hii sredi.
 
Back
Top Bottom