Polisi wanamhanya kibaka Scorpion anayechoma watu visu na kuwatoboa macho?

Chachu Ombara

JF-Expert Member
Dec 11, 2012
5,897
10,358
Habari wakuu,

Kuna kibaka mzoefu Buguruni anayetumia visu na bisibisi kupora watu.

Huyu kibaka anatega mingo Buguruni na anajulikana na watu wa eneo lile, anaogopwa na hakuna wa kumletea fyokofyoko maana akijua tu kiama chako kimefika.

Ni kwamba kabla ya kukupora anakuchoma choma visu sehemu mbalimbali alafu anakutoboa macho. Akishakupora anakupeleka katikati ya barabara ili ugongwe na gari ufe. Hayo yote anafanya mbele za watu na hakuna msaada utapata.

Kwa hisani ya HEKAHEKA
______

Kituo cha polisi hakipo mbali na maeneo anayofanyia uharifu, cha kushangaza hatiwi nguvuni na anaendelea kuua watu.

Nitajitolea niende kupambana nae na nitampoteza. Wanaume wa DAR mmeonesha udhaifu ngoja sie wa mkoani tuwaoneshe shughuli ''Sitakagi ujinga mimi"

Macho.jpg

Kijana aliyekutana na masaibu ya Scorpion
 
Aisee nimemsikiliza huyu bwana pichani kupitia hekaheka nimesikitishwa sana
jamaa nasikia sio tukio moja tena anafanya hadharani hivi polisi wako wapi jamani mbona mambo ya hovyo hovyo wanakuwa mstari wa mbele . mara wamekamata wazanzibar wanakwenda bomoa/vunja ofisi za cuf !! tena ndani ya basi huyu scorpion analindwa na nani?
 
Habari wakuu,

Kuna kibaka mzoefu Buguruni anayetumia visu na bisibisi kupora watu.

Huyu kibaka anatega mingo Buguruni na anajulikana na watu wa eneo lile, anaogopwa na hakuna wa kumletea fyokofyoko maana akijua tu kiama chako kimefika.

Ni kwamba kabla ya kukupora anakuchoma choma visu sehemu mbalimbali alafu anakutoboa macho. Akishakupora anakupeleka katikati ya barabara ili ugongwe na gari ufe. Hayo yote anafanya mbele za watu na hakuna msaada utapata.

Kwa hisani ya HEKAHEKA
______

Kituo cha polisi hakipo mbali na maeneo anayofanyia uharifu, cha kushangaza hatiwi nguvuni na anaendelea kuua watu.

Nitajitolea niende kupambana nae na nitampoteza, ''Sitakagi ujinga mimi"

View attachment 409010
inasikitisha sana na mtu anaye fanya yote haya achukuliwi hatua za kisheria
 
Kilichonisikitisha zaizi ni wanaume wa dar kuanzia madereva bodaboda mpaka raia na wafanya biashara kushuhudia jamaa anamchoma visu mtu hadharan anambeba anaenda kumtupa barabarani anamtoa macho, wote wanatazama hakuna anaye thubutu hata kusema neno eti wanamuogopa ukisema kesho anakurudia.
Yani wanaume zaidi ya 40 wanamuogopa kibaka mmoja ambaye hana hata bunduki ana visu.
Sasa hawa ndiyo kweli wangeweza kujenga ukuta mbele ya askari polis wenye vitu vya ncha kali?
 
Aisee nimemsikiliza huyu bwana pichani kupitia hekaheka nimesikitishwa sana
jamaa nasikia sio tukio moja tena anafanya hadharani hivi polisi wako wapi jamani mbona mambo ya hovyo hovyo wanakuwa mstari wa mbele . mara wamekamata wazanzibar wanakwenda bomoa/vunja ofisi za cuf !! tena ndani ya basi huyu scorpion analindwa na nani?
Bavicha at work, negative masaa 24
 
hatari sanaa
 
Wengi wetu ndo tumejua au kufahamu baada ya GEA kurusha kwenye kipindi, Na usikute wazembe ni sisi wananchi hivi kweli wananchi mnashuhudia hayo MNASHINDWA KUREPORT POLISI, mana kama kuna aliwahi kureport na hakuna kilichofanyika ndio tulaumu, isije ikawa wananchi wenyewe wamekaa kimya hawalizungumzii hili n.k. Lakin kama LIMESHAWEKWA WAZI BASI HANA MUDA MREFU ATAKAMATWA TU. Pole kwa walofikwa na maafa na Nduli huyu.
 
Aisee nimemsikiliza huyu bwana pichani kupitia hekaheka nimesikitishwa sana
jamaa nasikia sio tukio moja tena anafanya hadharani hivi polisi wako wapi jamani mbona mambo ya hovyo hovyo wanakuwa mstari wa mbele . mara wamekamata wazanzibar wanakwenda bomoa/vunja ofisi za cuf !! tena ndani ya basi huyu scorpion analindwa na nani?

Huenda wananchi hatujui watu wapi tukapate msaada. Hivi kweli unaweza kufanyiwa hujuma kubwa hivyo halafu ukakaa kimya? Au badala ya kwenda kwenye vyombo vya sheria wewe unaenda kwenye kituo cha redio? kweli enhee?

Pili, mnadai anafanya hujuma hizo mbele ya watu. Hao ni watu au washirika wake? Inawezekanaje jambo hili kutendeka wakati watu wazalendo wanaona?

yaani mtu atoboe mtu mwingine macho, akuchome visu, kisha akubebe akurushe barabarani ili ugongwe ufe kwa ajali. Hao ni watu wanao shuhudia au ni misukule? Tusiambiane uongo jamani, maana hili haliwezekani. Ni exaggeration tu, ntakuwa wa mwisho kuamini maneno hayo.
 
Hapo ndipo utachoka na watanzania, wapo tayari kumpiga mtu hadi kumuua akipigiwa kelele za mwizi hata kama anasingiziwa, ila mtu kama huyu wanamuogopa. Na askari wako busy kukamata wanaokaa kumtusi JPM huku raia kama hii ipo mtaani inapeta.
 
Hebu niulize....Hivi ni kweli hayo yaliyoandikwa....???Kwa nini nashindwa kukubaliana nayo..??
Yaani tumefika stage ambayo tunashindwa kumsaidia mwenzetu anayehujumiwa na kibaka...???
OMBI LANGU.....huyo kibaka na wenzake waje MOSHI na ARK kutembea...na wajaribu shughuli zao huenda zikawalipa vizuri.
 
Juzi kuna teja kabishana na abiria wa kwenye daladala baada ya teja kumchafua abiria kwa kulazimisha kupitisha mizogo dirishani. Baada ya mabishano kidogo teja kaingia kwenye daladala na kuanza kumkata jamaa na kiwembe kwenye mikono. Tukio hilo limetokea abiria wakishuhudia na teja hakukimbia. Kama si watoto kwenye gari nilitaka kumshukia yule teja hakyamama.
 
Kweli buguruni kwa mnyamani ya zamani si ya sasa, yaani mwanaume mwenzenu anakabwa mbele ya wanaume zaid ya hamsini mnashindwa kumsaidia jamani kweli, kweli siku hizi wanaume wachache naona wengi wao waoga wameinvest ktk technic za kuwakojoza wanawake na kutengeneza six pack pumbavu na nyie wafanyabiashara kwa mnyamani mnashindwa hata kuwalinda wateja wenu kweli, sasa si bora mfunge biashara zenu.
 
Hapo ndipo utachoka na watanzania, wapo tayari kumpiga mtu hadi kumuua akipigiwa kelele za mwizi hata kama anasingiziwa, ila mtu kama huyu wanamuogopa. Na askari wako busy kukamata wanaokaa kumtusi Rais Magufuli huku raia kama hii ipo mtaani inapeta.
Wa tz ni watu wakuunga tela na kuamini na kuchukua hatua kwa yale waliyoskia siyo waliyo yashuhudia.
Halafu uoga mwingi ujanja wa kuzuga hasa wanaume wa dar.
 
Back
Top Bottom