Polisi, wanajeshi, manesi na waalimu wengi wa s/m wanatumia majina yasiyo yao

M-pesa

JF-Expert Member
Sep 4, 2011
602
151
kama huamini fanya research na utagundua hilo. Wengi wanatumia vyeti visivyo vyao, hasa vyeti vya secondary.
 
kama huamini fanya research na utagundua hilo. Wengi wanatumia vyeti visivyo vyao, hasa vyeti vya secondary.

kwa hiyo unataka nini kwani hawatoi huduma hao wenye vyeti vyenye majina halali wamefanya lipi jipya
 
Hilo mbona linajulikana! Na wengi wao ndo wanapiga kazi na hao hao pia wanaoturudisha nyuma kwa kuogopa kutibuliwa inshu za vyeti zao.
 
kwa hiyo unataka nini kwani hawatoi huduma hao wenye vyeti vyenye majina halali wamefanya lipi jipya

kama nimekugusa pole, ndio maana mnakataa vitambulisho vya taifa?
Nimesahau na masekretari
 
Back
Top Bottom