Temporary01
JF-Expert Member
- May 12, 2011
- 260
- 70
Subirini siku tukiwageukia ndio mtatujua, mburura nyinyi.
acha porojo, ungejibu hoja sio kukurupuka.
Acha kushabikia machafuko, Likianza halichagu, lita fyeka wengi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Subirini siku tukiwageukia ndio mtatujua, mburura nyinyi.
Wakati mwingine kuQualify kuitwa kichaa si lazima uokote makopo.
Tafuta msaada haraka!
Hivi ulikuwa unataka kufikisha ujumbe gani haswa?? get you brain checked a..h..
I think GANESH is not with us but in another world of his own!!
Hapana,no one has stolen my password. Matatizo yamezidi,kwanza Imperialist vermin wanataka kutugombanisha na Malawi,halafu sasa fujo za Waislamu.
nawe una nchi???na makaburu na waraabu walopewa migod na mbuga utawaita akina nani???kula maharage ujambe ulale
nyerere ndie alieharibu hii nchi, kwa kudhulumu na kunyanyasa waislam na kuwapendelea wagala wenzake.
Sasa waislam wamezinduka na wanadai haki zao inakuwa nongwa?
Kama ni udini maaskofu ndio walioupanda na kuulea, kwani ni nani waliosema jk ni chaguo la mungu na kumkabidhi bibili kanisani ili aitumie kuongoza nchi kama sio nyie wenyewe?
Nani walioanza kutoa muongozo kwenye uchaguzi kama sio kanisa?
Ni wakina nani wanao kidhalilisha kitabu kitukufu cha Quran kama sio nyie?
Mnajifanya kuyasahau hayo yote na kuona waislam ndio chanzo?
Acheni unafik, nyie ndo chanzo ndomana sasa mnahaha na mnakuwa na wasiwasi.
Siungi mkono uchomwaji wa makanisa kama nisivyo unga mkono kejeli, uonevu na fitna zinazofanywa na wakristo na serekali dhidi ya waislam.
To me at least you come across as a half educated, half confused character.Ungesoma Phoenix Archives ungeelewa maana yake. Kwa hiyo google' Phoenix Archives'