polisi wamwagwa Arusha

MVUMBUZI

JF-Expert Member
Jan 8, 2011
5,182
2,304
Wakuu ninaelekea Moshi hapa usa river nimekutana na basi la polisi likitokea Moshi kwenda Arusha limesheheni polisi wengi waliovalia kiraia. Huu ni uoga wa Ccm kuhusu mkutano wa leo wa Cdm
 
Tunaomba polisi wasiingilie na mkutano kwa hakika utakuwa wa amani. Mungu ibariki Tanzania.
 
ai hii gvt yetu niaje? waache uoga, mkutano ni wa amani 2nataka kutiana moyo na kujua way foward.
 
Walifeli shule na sahvi wanafeli maisha make wanavyotumikishwa kama mbwa wa kikoloni.. POLICICIEM BIG SHAME
 
muda huu polis ni wao hakika taabu inavyoendelea nyakati zaja ,polis watakuwa wetu wataigeuza mitutu .hapo ukombozi kutimia.TUSALI:shetani::shetani:
 
Walifeli shule na sahvi wanafeli maisha make wanavyotumikishwa kama mbwa wa kikoloni.. POLICICIEM BIG SHAME

The dogs are better breed ,they have sense of right and wrong unlike their minders.
 
Hapo wanaitia hasara wizara ya mambo ya ndani tu, maana kwenye mkutano wa leo hakuna hata sisimizi atakaeguswa au kuuawa. Amani tupu!
 
Kama wamevaa kiraia wanakwenda kuanzisha vurugu ili ionekane kuwa CDM ndo wamesababisha!
 
Hata magamba wanashauku na huo mkutano ili wajuo tamko la chadema maana nao hali ni tete plan zao baada ya lema kuvuliwa zaweza vurugwa na tamko la lea na chadema. Peoples power.
 
yana mwisho haya! gharama ya mabadiliko inajulikana ni kubwa mno, wazungu waliiachia africa, sasa wapewe wananchi, umma
 
kama jeshi la polisi lingekuwa ni chama cha siasa cdm wangekiona cha moto coz hakuna wa kumuamini mwenzake kati yao,reflection ya kila upande ni chanzo cha vurugu
 
...hakuna taarifa za kiintelejensia!
...aalshabibi hawajachimba mkwara?
...kila la heri CDM.
 
Back
Top Bottom