Polisi wamwachie Lulu mara moja................

Nadhani kuwekwa ndani kwa lulu ni kwa usalama wake,hata kama ana hatia ama hana hatia.

wao polisi wanasema ni mtuhumiwa wa mauaji.............wakati ushahidi wala hawaukusanyi au hata kuuzuia usiharibiwe pale wanaporuhusu maombelezi yaendelee kwenye eneo la tukio........khalafu yeye ikumbukwe ndiye aliyetoa taarifa ya tukio kwa mdogo mtu na polisi sasa khofu ya kudhuriwa inatoka wapi?
 
jamani nyie hivi angekuwa kanumba ni mwanao ungependa kusikia prime suspect yupo free walah angekuwa mwanangu na lulu akaachiwa ingekuwa ama zangu ama zake,aliyekufa hapa ni mtoto wa m2,kwa kweli akae 2 ndani mpaka uchunguzi ukamilike,

tatizo lako ni kuwa unachukulia kuwa kauawa na polisi hadi sasa wamekiri wao hawajui kitu sasa huu u-prime suspect unatoka wapi?...............lazima polisi wawe na ushahidi ya kuwa aliuawa..........lakini ushahidi walio nao ni kuwa kanumba alipoteza nguvu ghafla na kudondoka mwenyewe na hawajafanya jitihada yoyote ile polisi kupangua huo ushahidi kwa kutafta wa kwao wenyewe au hata kuwa na taarifa tofauti kutoka muhimbili..sasa prime suspect wa kitu gani?
 
Pamoja na kuwa nakubaliana na wewe juu ya uwezo (duni) wa polisi wetu...lakini katika hili la wao 'kumshikilia' Lulu kuhusiana na kifo cha Sk sikubaliani na wewe. Kuna utata mkubwa bado juu ya chanzo cha kifo cha SK...amejiuwa, amekufa, ameuwawa! Kwa maelezo yaliyopo kwenye public mpaka sasa ni kuwa Lulu ndiye aliyekuwa na marehemu na kwa mujibu wa mashahidi (mdogo wa marehemu na majirani) kulisikika 'vishindo' chumba ambacho wapenzi hawa walikuwamo kabla ya SK kufariki. Sasa, katika hali kama hii Lulu ni shahidi muhimu (hasa kama itathibitika kuwa SK ameuwawa) sana katika uchunguzi wa kipolisi na pengine hata ule wa kitabibu. Kuwa wa kwanza kutoa taarifa polisi hakuondoi ukweli kuwa katika hili Lulu anabaki kuwa mshukiwa nambari moja. Baada ya uchunguzi wa awali bila ya shaka anaweza kuachiwa au wakaongezeka wengine.

polisi hawapaswi kumkamata mtu kwa sababu hizo unazozitaja....wanapaswa kwanza watangaze kuwa kuna mauaji yamefanyika kwa lugha ya kimombo wanapswa kusema kumetokea "Homicide"...........na hili ni pale wanapoona kuna ushahidi wa mazingira wa kuwafanya waseme hivyo..................wao wenyewe maekiri kuwa hawana huo ushahidi wa kujua tukio lenyewe.........maelezo ya Seth yanathibitisha alishinda na nduguye.......polisi lazima naye mshuku kuwa yawezekana alimlisha kitu nduguye hata kabla ya lulu kufika...........Lulu naye wanapaswa kumshuku...............lakini polisi yabidi wasubiri taarifa ya muhimbili kabla ya kuanza kubughudhi raia ambao wao wenyewe wanawaona hawana hatia..........nchi hii kuna kesi feki za mauaji nyingi sana na watu husota hata miaka 10 lupango na kila siku zikitajwa polisi hudai bado hawajakamilisha ushahidi na hivyo kudhulumu raia haki zao za kuishi bila bughudha.................na ndiyo maana nchi nyingi zina sheria ya kuwa polisi wanapswa kumfikisha mtuhumiwa mahakamani masaa 24 baada ya kumkamata ili kukwepa kuchezewa haki za mtuhumiwa...................

ni mpaka ya kukute ndiyo utaelewa haya mambo.........
 
kanumba.jpg

Marehemu Steven Kanumba


Polisi wetu wameonyesha ukilaza wao kumkamata Lulu ambaye alikwenda kuwaarifu ya kuwa mpenzi wake amedondoka na kufa mwenyewe. Polisi wenye mafunzo stahiki walipaswa kutoa PF, kurekodi kauli za wahusika na kuchukua contacts zao na kuwaruhusu waondoke wakisubiria taarifa ya ukaguzi wa mwili wa mwendazake................................

Kitendo cha polisi kumkamata na kumhusisha na mauaji Lulu ni kumnyang'anya haki zake za asili na za kikatiba za kuwa hana kosa hadi pale atakaposhitakiwa na kosa..................polisi wamemkamata huku hawana ushahidi wowote kuwa kanumba aliuawa na kuwa hiyo ni kesi ya murder na kauli ya kamanda wa polisi aliedai kuwa Lulu atashitakiwa kwa mauaji inathibitisha jinsi jeshi la polisi lisivyojua wajibu wake ndani ya polisi jamii................

katika mazingira ya namna hii nani atatoa taarifa kwa polisi wakati akijua ataanza kubughudhiwa..............na kushukiwa kuwa anahusika na mauaji wakati hakuna ushahidi wowote hadi sasa wa kufanya hivyo.........mtoto wa watu kakoseshwa kula Easter yake kwa sababu ya uzembe na umbumbu wa polisi wetu................kweli tunakazi ya kuwalisha hawa vilaza polisi na familia zao kwa kutubughudhi tu!

Pili, hakuna maelezo kwa nini mdogo wake wa Kanumba - Seth - naye hakukamatwa pia kutokana na maelezo yake mwenyewe kuwa siku nzima alikuwa na kaka yake kabla ya Lulu kuja
...................mashaka kama yanaweza kutiliwa kwa Lulu kwa nini watu wote waliokuwapo wakati marehemu yupo hai wasichukuliwe kama ni watuhumiwa bali mdogo wake aonekane hana hatia kama siyo ubaguzi wa kijinsia? kauli ya polisi kuwa ni ugomvi wa kimapenzi ndiyo uliomwuuwa unazidi kulidhalilisha jeshi la polisi kwa kufikia hatma ya swala lenyewe hata kabla ya kusubiri maelekezo ya taarifa za kitabibu...............kutoka Muhimbili.......hii sasa ni aibu kwa jeshi la polisi....................na yaonyesha kuna watu wengi wamefungwa kutokana na huu uzembe wa kufikiri wa polisi wwetu........


.............katika khali ya kawaida Lulu alitaka kuishia lakini ni mwendazake ambaye alikuwa anamzuia na yaonekana alikuwa ana nguvu zaidi ya kumzuia pale alipoweza kumrudisha chumbani na kufunga mlango wa chumba..........................watu hudondoka tu kwa viungo ndani ya miili ayo kushindwa kutekeleza majukumu yake..........viungo hivyo ni kama moyo, maini, figo, bandama n.k na hata ubongo waweza kushindwa kufanya kazi na mtu akadondoka chini na kupata majeraha ambayo mbumbumbu wetu wa polisi hawana zana za upembuzi yakinifu hata kusema hakuna kesi ya aina yoyote ile hadi pale watakapopata taarifa ya post-mortem kutoka kwa madaktari Muhimbili.................................

polisi wamwachie binti akale sikuukuu au vinginevyo wajiandae kumfidia kwa usumbufu na udhalilishaji waliomsababishia...................

una act as if wale wanaitwa ma bush lawyer

But let me tell u one thing........... this is not about hisia na mawazo yako or something like that.............. this is a criminal procedure.
For now on she's innocent until proven guilty

Kumbuka she is only one who knows what happening to him, hii inamaana she is a primary suspect
 
naunga mkono sana LULU kuachiwa ila baada ya kujilidhisha usalama wake,kifo cha kanumba kwa kusikia na kusoma magazeti,kuna mambo kaza ya kuangalia1.baada ya kuangua hawa ndugu waliokuwa karibu yake wangemkimbiza hospital haraka inawezekana alipata kitu kitwacho contution ,pia position aliyokuwa amelala haikuwa sawa inawezekana kabisa2.dokta wake hakuwa na maamuzi ya haraka unaposema njoo unichukue ili uje kwenye tukio muda utakao pita kwa maisha au breathing iliyo diffult mara nyingi hautamkuta,atakufa tu.mwendo wa manurse na madocta huwa ni chap chap sasa huyu ni dr zoba3dada yake pia hawakuwa na uamuziwa haraka wa msaada4.kanumba kama alikuwa amekunywa pombe na akaingia kwenye hasila saikolojia inasema huwezi kumaintain normal condition.na alipoaguka huwezi ku-control ukiwa kwenye contution5.kanumba kafa kwa umasikini wa nchi yetu,umasikini wenyewe ni fikira na infrastracture ya kufika kwenye huduma.
 
acha wafu wazike wafu wenzao!! yesu aliposema hivi watu walibaki wamemtolea macho bila kuelewa kwa nini alisema hivyo. Poleni wafiwa.

big point.............
 
una act as if wale wanaitwa ma bush lawyer

But let me tell u one thing........... this is not about hisia na mawazo yako or something like that.............. this is a criminal procedure.
For now on she's innocent until proven guilty

Kumbuka she is only one who knows what happening to him, hii inamaana she is a primary suspect

mbona unajikaanga kwa mafuta yako......if she is innocent why apprehend her?...........kuhusu kuwa Lulu ni prime suspect for what.........................hivi polisi wamesema wamekiri kuwa hawajui kuwa kama kuna mauaji au ni kifo cha maradhi ya kawaida......................sasa prime suspect kwa kosa lipi?...........polisi lazima watangaze kuwa hii ni homicide wakishindwa kufanya hivyo mtuhumiwa lazima umwachie huru hadi pale ushahidi wa kumkamata na kumshitaki utakapopatikana................fikiria wewe uko kwako na mmoja wenu kafa halafu polisi wanakufanyia unyama huu wa kukukamata hata kabla hawajapata post-mortme report itakapokuja na kuthibitisha ni ugonjwa wa moyo ndiyo uliomwuuwa lulu anafidiwa vipi kwa usumbufu na kudhalilishwa na hawa polisi bomu?
 
naunga mkono sana LULU kuachiwa ila baada ya kujilidhisha usalama wake,kifo cha kanumba kwa kusikia na kusoma magazeti,kuna mambo kaza ya kuangalia1.baada ya kuangua hawa ndugu waliokuwa karibu yake wangemkimbiza hospital haraka inawezekana alipata kitu kitwacho contution ,pia position aliyokuwa amelala haikuwa sawa inawezekana kabisa2.dokta wake hakuwa na maamuzi ya haraka unaposema njoo unichukue ili uje kwenye tukio muda utakao pita kwa maisha au breathing iliyo diffult mara nyingi hautamkuta,atakufa tu.mwendo wa manurse na madocta huwa ni chap chap sasa huyu ni dr zoba3dada yake pia hawakuwa na uamuziwa haraka wa msaada4.kanumba kama alikuwa amekunywa pombe na akaingia kwenye hasila saikolojia inasema huwezi kumaintain normal condition.na alipoaguka huwezi ku-control ukiwa kwenye contution5.kanumba kafa kwa umasikini wa nchi yetu,umasikini wenyewe ni fikira na infrastracture ya kufika kwenye huduma.

hivi polisi huwa wanasoma busara hizi au hawafiki JF...................
 
Let the dead speak for themselves. Be honest to your God and love your neighbour as yourself. Thou you die you will be having life.
 
mbona unajikaanga kwa mafuta yako......if she is innocent why apprehend her?...........kuhusu kuwa Lulu ni prime suspect for what.........................hivi polisi wamesema wamekiri kuwa hawajui kuwa kama kuna mauaji au ni kifo cha maradhi ya kawaida......................sasa prime suspect kwa kosa lipi?...........polisi lazima watangaze kuwa hii ni homicide wakishindwa kufanya hivyo mtuhumiwa lazima umwachie huru hadi pale ushahidi wa kumkamata na kumshitaki utakapopatikana................fikiria wewe uko kwako na mmoja wenu kafa halafu polisi wanakufanyia unyama huu wa kukukamata hata kabla hawajapata post-mortme report itakapokuja na kuthibitisha ni ugonjwa wa moyo ndiyo uliomwuuwa lulu anafidiwa vipi kwa usumbufu na kudhalilishwa na hawa polisi bomu?

Mkuu Ruta
Ok LULU hajaongea bado, lakini kwa akili yako unadhani polisi walipataje taarifa?
Taarifa ilipelekwa polisi kwamba LULU alifika kwa Kanumba saa5 usiku na kukatoke ugonvi kati yao na vilisikika vishido vya kama kupigana kabla ya LULU kutoka chumbani kuja kumuita mtu wa tatu kuwa Kanumba kadondoka amsaidie
Na baada ya tukio lile LULU alitoweka............ maelezo haya ameyatoa mtu aliyekuwa ndani ya nyumba wakati haya yote yanatokea.... haya ndio maelezo ya awali Polisi waliyonayo

Kwa mujibu wa Taratibu ni lazima LULU aliyekuwepo chumbani na marehemu ashikiliwe kwanza kwa mazingira yaliokuwepo kusubiri ripoti ya Dr na mambo mengine
Kumbuka hapa kunahusika na mtu kufa(muder) kuna procedures zake, no dhamana

Kama ikitokea mimi na mke wangu tukagombana sana usiku na usiku huo huo mke wangu akafa haiitaji hata akili ya darasa la kwanza kujua nani atakuwa mshukiwa wa kwanza, narudia mshukiwa aka mtuhumiwa

Lulu hapa si muuaji HAPANA, but according to criminal procedure mazingira yana muweka LULU kama mtuhumiwa namba moja(sio muuaji), mtuhumiwa............

Hapa dunia hakuna kitu kipo kamili, LULU kuwekwa ndani na kuja kugundulika hana hatia ni jambo lisilo epukika katika sheria, halikuanza kwa LULU, wamefungwa watu na wakaja kuonekana hawana hatia vifungo vikatenguliwa, na hii si Tz pekee all over the world................. hii ndio moja price za sheria na procedure zake......... why not kwa LULU?

Najua Polisi wetu wako bogus kinoma lakini kwahili ndiomaana nakwambia labda hujajua tu taratibu.
 
naona wadau mnaangalia mno CSI ktk luninga. Crime scene umesema contaminated... is it a crime scene? maybe SK alikuwa amekamata (whisky - JD chupaa kadhaa.... - Quote from newspaper).. then akaanguka mweyewe... cku ya kifo ni pale mungu anapokuita... haikwepeki
 
Mara nyingi watu mashuhuri huwa hawadumu..na sababu za vifo vyao zinakuwa na utata sana
Mifano michache ni hii:

Bruce Lee
Jesus Christ ...mwanafunzi wake alimsaliti
Tupac Omar Shakur
Amina Chifupa
Bob Marley
Michael Jackson

Na mlolongo huu bado ni mrefu sana

Lulu ametia tu muhuri...na kwa uchunguzi wa polisi wa Bongo lolote linaweza kutokea.
 
Hivi kwa kweli ungukua unajua juu ya sheria na vidude vya kumshikiria mtu usingeandika haya

Cha polisi kufanya ni sawa kwa sababu nyingi tu

1. Huyu Lulu alidai next day kaumia ila muda wa tukio hakwenda hospitali na dr na mdogo mtu nae akatibiwe. Waliporudi walikuta kakimbia, sasa kwa nini alikimbia na kutoonekana hadi asubuhi?(Nilivyosikia)
Mie naona hivi kuwa
Alienda kujipa m€ajeraha mwenyewe, hii itabidi ithibitishwe na mdogo mtu kama aliona majeraha na kama hakuona kitu basi Lulu kaenda kujiweka majeraha nguo inapoficha ila tunajua ni huwa mvaa nusu uchi.

2. Lazima ujue kuwa jinsi mtu anavyo act wakati wa tukio na masaa machache baada ni vital sana kwa polisi as inakuwa ina mengi.

Yeye alikuwa anaweza itamtu aende kumuona K kaanguka wakati wanaenda hosp kama kweli hakuogopa kwa alichokifanya kwanini hakupanda gari nae aende?

3. Polisi bado hawajasema kuwa ameeua bali ni lazima wanasubiri majibu ya wataalamu, ingikuwa nchi zingine Africa kama tuonavyo kwenye mamovie wangeshampiga humo ndani na angesema kila kitu.

4. Polisi endeleeni kumshikilia na pia lazima aeleze kwanini alikimbia as hadi Dr anaobdoka kwenda hosp na marehemu hakusema kuwa kafa, yeye aliogopa nini? Kwa mie aliogopa alichofanya kumsukuma.

5. Kunywa pombe sijui JD hausiani na mtu kuanguka kufa, kwa nini hakuanguka bafuni au sehemu ingine hadi walipoingia wawili chumabni?

6. Magazeti mengi ni ya udaku kwa hiyo msubiri kusikia ya mabosi wenyewe.

7. Duh nitaongeze nikifikiria
 
Naona Marehemu hakuwa ameenda samaritan kucheki afya yake!labda kuanguka tu!
 
04_12_bbsefq.jpg




ni vyema wakamwacha binti wa watu akale sikukuu yake.....................mwuuaji huwezi kumjua kwenye mazingira haya bila ya afya ya kanumba kueleweka........hadi hivi sasa polisi hawana ushahidi wowote sasa kwa nini wahisi kuna mauaji?

wananchi wana hasira nae, ni heri polisi wamhifadhi kwa usalama wake - usisahau watanzania wamezoea kuchukua sheria mkononi.
 
Rutashubanyuma, Nakushauri utofautishe sheria na mawazo binafsi. Inawezekana kwa mawazo yako polisi wamekosea kumkamata huyo binti lakini sheria inawaruhusu kumkamata mtu yeyote ambaye wanafikiri anaweza kuhusika kwa namna moja au nyingine kwenye kosa la jinai. Na kama ulivyoelezwa ni kwamba mtuhumiwa anaweza kukamatwa kwa sababu nyingi lakini moja ni kwa usalama wake na wakati huo kuwawezesha polisi kupata taarifa muhimu kuhusiana na tukio.
Suala la kwamba polisi hawana ushahidi, nadhani ni vizuri tuwaachie polisi maana ni kazi yao kutafuta ushahidi na wakikosa ushahidi basi watamuachia. Kwani ushahidi maana yake nini? Na ushahidi unapatikanaje? Inawezekana sifahamu.
Ni kweli mtuhumiwa ana haki zake za kikatiba lakini hakuna haki isiyokuwa na kikomo, kwani hata marehemu alikuwa na haki yake ya kuishi na haki nyingine nyingi lakini ndo hivyo tena hayupo, kinachotakiwa ni kufanya uchunguzi na kujua kama marehemu ameuwa au amekufa kifo cha kawaida na kama ameuawa ni nani aliemuua. Na katika kufanya uchunguzi unataka polisi waanze na nani kama si LULU?
Lakini pia kumbuka LULU bado ni mtuhumiwa, mahakama ndio itathibitisha kama ana hatia au la na katika kufikia hatua hiyo polisi watatakiwa kuthibitisha pasipo kivuli cha mashaka kuwa alihusika. Mwisho nakupongeza jina lako limekutambulisha vizuri.
 
Hivi mkuu unaonge kwa kufuata sheria ama unaongea kwa matakwa yako binafsi?

nadhani unaelewa kuwa Tanzania nzima inaelewa kuwa Lulu ndie aliyekuwa na marehemu hadi dakika za mwisho hilo halina ubishi,hata kama Lulu hausiki na kifo hicho ni lazima awekwe ndani hii ni kwa ajiri ya usalama wa Lulu mwenyewe

kwani kanumba alikuwa na washabiki wengi na ana ndugu ambao wameondokewa na mpendwa wao,kwa hiyo kama itatokea polisi wakamwachia Lulu na akashambuliwa na kupoteza maisha yake watu wa kwanza wa kulaumiwa ni polisi,kwa hiyo polisi wanafanya kazi zao kwa kufuata sheria,taratibu na kanuni

la sivyo wewe kama wewe uwe mlinzi wa Lulu CHOCHOTE kitakachotokea juu yake wewe ndie utakae husika

kukamatwa kwa lulu ni kwa usalama wake,ingawaje mashitaka pia yatakuja baada ya uchunguzi

Kama wajua sheria?

Kwa nini nyumbani kwa marehemu haikufungwa as a crime scene?

Kwa nini wapita njia wlimbeba kumpeleka mourtuary? badala ya kusubiri polisi?
 
crime scene is contaminated pale ambapo dakitari aliruhusu mwili uondolewe kabla ya polisi kufika na dakitari wala Seth hawakamatwi.....................waombelezaji akiwemo JK wameshiriki kwenda kuvuruga ushahidi kutokana na polisi kutolifunga eneo la crime scene ............sasa Lulu atatendewa haki kweli?

Umeniboa aisee. Lazima niwe wazi maana yanakutoka maneno km cherehani ukijidai kutetea haki za huyo Lulu wako. Unajua kxa hata marehemu ana haki zake? Unajua tukio hili limewaathiri wangapi waliomtegemea Kanumba kwa maisha yao? Unamtetea asipelekwe mahakamani kwa nn km unajua hana hatia? Huko huko mahakamani ndiko atatangazwa INNOCENT km kweli hakuhusika. Hata taarifa ya vchunguzi wa Dr na Police havijatolewa unaropoka tu! Kuwa na subira mtoto wa kiume.
 
Back
Top Bottom