Polisi wamkamata mbunge wa CUF na pia wawapiga risasi watu watatu

Jee, kukamatwa kwa huyo mbunge kuna uhusiano wowote na hao waliopigwa risasi?

Jee, una uhakika upi kuwa hao waliopigwa risasi si majambazi?

Maswali mazuri sana ingawa kwenye hilo la ujambazi, polisi mara nyingi wamekuwa wakilitumia kama kisingizio... watu wengi wanashikwa na kubambikiwa kesi, na wengine wanauawa na polisi kwa madai ya kwua majambazi wakati si kweli. kesi ya Zombe ni kielelezo kikubwa cha mambo kama hayo
 
Hivi unatetea nini Mkuu? Maswali yako hayaonyeshi nia ya kupata maelezo bali kutetea wenye nguvu. Ni vigumu kuamini unafanya uyafanyayo kwa utashi wako.
Huyu jamaa anayeshabikia mauaji hayo ya polisi nadhani atakuwa anakaa kota za polisi ambapo kila kitu wanapewa bure,hajui kuwa wanao pigwa risasi na kuuawa ni watanzania wenzake.
 
watu watakapochoka watachukua hatua mikononi mwao na polisi wengi watauawa!!!!1 si umesikia huko Nzega na Sumbawanga,wananchi wamechukua hatua mikononi mwao na kuua polisi kutokana na ukandamizaji na uonevu kama huo. Hii ni mwanzo tu! serikali isipochukua hatua kwa maonevu haya kila kitu kina ukomo wa kuvumilia.
 
watu watakapochoka watachukua hatua mikononi mwao na polisi wengi watauawa!!!!1 si umesikia huko Nzega na Sumbawanga,wananchi wamechukua hatua mikononi mwao na kuua polisi kutokana na ukandamizaji na uonevu kama huo. Hii ni mwanzo tu! serikali isipochukua hatua kwa maonevu haya kila kitu kina ukomo wa kuvumilia.
Kweli kabisa na bado kidogo tutaanza kuwapongeza mashujaa hawa maana kitendo cha kumvamia polisi wewe una mkuki na yeye na ana bunduki ni cha kijasiri sana kwa hapa kwetu Tanganyika maana tunaonewa na hii ni ishara tosha kuwa tumechoka...
 
Hii tabia ya polisi kupiga na hata kuua wananchi wasiokuwa na hatia itaendelea kama watanzania wataamua kutulia bila ya kufanya chochote. Unyamazifu wetu ndo unahalalisha ugaidi huu. Ndiyo nimesema ugaidi.
 
Jamani 2po kwenye mkakati wa kutekeleza sera ye2 ya Polisi jamii na Ulinzi shirikishi.
 
Inahtajka semeni elekezi nyngne hao ma'polisi wote wamepelekwe dodoma.. Na baba riz1 ndio mkuu wa elekezi hyo
 
Sasa mkuu mbona unapingana na sheria?umesema hamna sheria ya kuua, then badae unataka tuwaue polisi...kwa hiyo unataka vita?

hapana mkuu siyo kwamba nataka vita...ila unapoona unaonewa na yule aliyetakiwa akutetee anakaa kimya huku wewe unaendelea kuteketea kinachofata unafanyaje?si vyema ukajitetea mwenyewe

mfano watanzania ndugu zetu wanapigwa kila siku,wanaonewa na kuuawa halafu serikali haichukui hatua,ukishakufa unaitwa jambazi hata kama ulikuwa unaelekea kwenye ibada una bible mkononi,kweli hii ndo sheria?sasa kama aliyeitunga sheria na anatakiwa kuisimamia hyo sheria hafanyi hvyo,hiyo sheria inamaana gani?si ni sawa na kutokuwepo?
 
FaizaFoxy, inaonekana you are a very cold, hearless person. majibu yako hapo juu yananifanya neseme hivyo. Polisi hawana mamlaka kisheria kuuwa -unless kwenye extreme situation (life threatening situation). Lakini tumeona matukio ya polisi kuuwa raia wasiokuwa na hatia wala silaha inazidi kuongezeka. Maana yake polisi wanauwa hata kama hawako kwenye extreme situation. Mwaka huu peke yake wameuwa watu wasiopunguwa 70!

Your suggestion kwamba hawa waliopigwa risasi huko Tabora wanaweza kuwa majambazi, are you saying Mbunge Sakaya (CUF) alikuwa amezungukwa na majambazi? Na hayo majambazi yalikuwa na silaha? na walikuwa wanatishia usalama wa polisi?

Kinachopita tabu kwenye message yako si tu unaonesha how cold you are dhidi ya binadamu wenzako ila kwa sababu unazozijuwa wewe mwenyewe umeamuwa ku-destroy reputation ya hao walipigwa risasi na polisi!!!!

ACHANA NAE MVURUGAJI HUYO, HAO NDO 'WAMETUMWA' HUMU KUTUVURUGA!
Hoja zake,mwonekano wa avatar yake, username yake ......utata mtupu!
 
Jee, kukamatwa kwa huyo mbunge kuna uhusiano wowote na hao waliopigwa risasi?

Jee, una uhakika upi kuwa hao waliopigwa risasi si majambazi?

Hongera msemaji wa police, kitengo cha utetezi wa mauaji ya raia unaofanywa na askari wa jeshi la police.
Tumekusoma!
 
Najiuliza ni kitu gani polisi na CCM wanataka ku achieve na accomplish . Ni vigumu sana kuelewa kwa nini polisi warushe risasi kwa mfugaji ambaye hata kuona bunduki anaweza kufa kwa wasi wasi .Wamefungua mlango wa kumwaga damu itaendelea kumwagika na siku watabanwa wataujua uchungu
 
Jee, kukamatwa kwa huyo mbunge kuna uhusiano wowote na hao waliopigwa risasi?

Jee, una uhakika upi kuwa hao waliopigwa risasi si majambazi?

Kwa vile waliouawa ni majambazi, basi serikari ifuate utaratibu wake wa kawaida;
Kuchonga majeneza kwa ajili ya miili ya majambazi hayo, na pia rambirambi ya Tshs 3,000,000/- kwa kila jambazi lililouawa.
Kama tu Nyamongo! bila kusahau kumfungulia huyo mbunge kesi ya uchochezi. Na pia wasisahau kuwaonya viongozi wa vyama vya upinzani kwamba hawaruhusiwi kuhudhuria na kushiriki maziko ya hao majambazi.
 
Haipo sheria ya mtu kumuua mtu mwingine,mie nasema jamani inafaa tukaanza kutoa kichapo kwa polisi pindi tunapoweza vinginevyo watatumaliza hawa...

polisi wetu ni vilaza,kama wanaua nao ni lazima wauliwe na kamwe hawawezi kutushinda

Tukiwa namshikamano watabadilika anapo tendewa unyama mwenziwe tujione tumetendewa wote tusiachiane matatizo tuanze nahatuwa chache kuwanyima ushilikiyano polisi kwakila jambo tuwatenge tusiwapangishe nyumba zetu atakaye thubutu naye atengwe najami sehemu zabiyashala tusiwahudumie apatapo tatizo lolote tusishiliki kwakuanzia zinatosha tusiende mbali sana tukitaka kuwauwa hawana ujanja mimi sipendekezi kuuwa asikali nindugu zetu kama raiya tunaolalamika wakiuwawa na maasikali
 
kweli nyerere alikuwa clever! kwani amewaprogram watanganyika kuwa wajinga! kivipi? hebu jiangalieni mna resourses nyingi lakini hamjijuwi nini mnafanya. malizenu wazungu wanazichukuwa kama zao nyie mmelala na wala hamjui lini mtaamka kwa upofu wenu. watanganyika ni watu pekee barani africa wasio faidika na rasilimali zao. hebu angalia makampuni ya kigeni yanavyo kusanya jasholenu na kuwalisha wananchi wa kwao! hivi unajuwa ni kiasi gani unalipa kwa kumlisha muingereza mmoja akiwemo mzanzibar aishie kule? hivi unajuwa kiasi gani unamplipia mjapani kwao kwa dimond yako? hivi unajuwa hiyo text msg yako unayotuma kwa ule ujuha waliokuleteeni wazungu wa tuma ujumbe utajirike kuwa inawalipia wazungu kiasi gani kwao kwa huduza kilasiki kwao?
watanganyika mko ziro katika africa mmejaa madeni ya ilhali ni matajiri wa rasilimali. watanganyika mpaka leo mnasomeshana kwenye mabanda ya mbuzi ilhali ni matajiri mno wa rasilimali na eti mna wasomi wa ceconomics ! watanganyika hamjui kusoma mikataba na ndiyo maana wazungu wanakupateni hapo kwa u-sifuri wenu
watanganyika mmejaa ujinga ndiyo maana mnauwana kwa imani za ushirikina eti albino ukipata limbs zake utakuwa tajiri! munauwana na kuchunanan ngozi kwa imani mtakuwa matajiri! mara leo vita vya anchari na wanchoki kwa bangi tu! nyinyi watanganyika hadi leo mnajidai mmesoma wakati mmejaa ujinga munauwa vibaka na munawaabudu wezi wa mamilioni ya walipa kodi !
hebu juilize ile gesi ya songosongo nani anafaidika?
watanganyika mhhhhhhhhhhhhhh!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom