Polisi wamgeuka msema kweli - wanamtafuta

Gurti

JF-Expert Member
Nov 19, 2010
211
59
Polisi Jijini Dsm wanamsaka Kainerugaba Msemakweli kwa lengo la kuzima harakati zake za kufichua ufisadi wa Kagoda. Polisi mmojawapo alizungumza na gazeti la Nipashe akasema--- Hapa kituoni kuna polisi mwenzetu anamtafuta Msemakweli eti kwa kutumwa na (wakubwa?). Yaani badala ya kutafuta mwizi anatafuta mfichua siri. Hii ni aibu kwa sisi polisi. Kainerugaba alikiri kutafutwa na polisi.

Kwa maoni yangu;
Polisi kutumika kisiasa intaweza kuhatarisha usalama wa nchi.
 
Hii ni stahili ya tawala zote za kidunia.
 
Serikali ya CCM chini ya JK ni ya mabavu na ya kidhalimu, wezi wanaenziwa wafichua wezi wanauliwa,
 
Serikali ya CCM chini ya JK ni ya mabavu na ya kidhalimu, wezi wanaenziwa wafichua wezi wanauliwa,
Licha ya wezi kuenziwa hata kupewa nishani inawezakana kama mfichua wezi anaweza kunyimwa..! mimi nafurahia sana haya yote yanapotokea kwasababu kazi ya kuiangusha ccm ingekuwa ngumu kama wangerekebisha haya lakini sasas anguko lao linarahisishwa na wao wenyewe..
 
Hata hao polisi wanao mtafuta huyu bwana kwa kutumwa na wakubwa ni sawa na makopo ya choomi ambayo yakisha kutumika kwa mda mrefu na kuchakaa hutupwa na dhamani yake isikumbukwe tena . ngoja watumwe na wakubwa wamkamate ila wakumbuke kuwa wanalipwa laki mbili na wanalala kwenye nyumba za madebe na wanapatwa na stress kila siku na kujipiga risasi wenyewe.
 
Jamii kama jamii inabidi tujitazame upya maana huenda sisi ndo chazo cha matatizo tuliyonayo hapa kwetu Tanzania:

"Mfalme wa milki ya kenge, siku zote ni the best of all kenges"
"Bad leadership, means a weak society"
 
Kwanini wasiende kumkamata fisadi aliye panga Mogogoni?

Hekima ni Busara, PAW
Ficha Upumbavu wako; Usiifiche Hekima yako!
Ahsantee.gif
michael-jackson.gif

Kuwa na Busara
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom