Polisi wamefanya makosa makubwa ZANZIBAR - Kushtakiwa

Polisi wamefanya makosa makubwa sana na huenda wakashitakiwa katika vyombo vya ndani au vya kimataifa ,hakuna sababu ambayo wanaweza kusema ikakubalika, hakukuwa na fujo wala mikusanyiko wanayoidai.
Mkusanyiko ulikuwepo na hata baadhi ya viongozi walikuwepo hapo ni mkusanyiko wa kuwaombea wale waliokumbwa na kuzama na meli .wakiwemo waliopotea,waliopoteza maisha na waliopona.

Ni jambo gani lililowafanya polisi kwenda kupiga mabomu na wao ndio waliosababisha fujo kama lile fujo liliopita ,chanzo ni polisi.

hebu consult books ndo utajua vigezo vya kupelika kesi ktk mahakama za kimataifa then rudi hapa ufute huu urojo ambao haujaiva vizuri.
 
Mkuu Mwiba, poleni sana!. Kama unadhani polisi watashitakiwa utakuwa unajidanganya!.

Yale maandamano ambayo mlimiminiwa risasi za moto na watu zaidi ya 40 wakailiwa, nani alishitakiwa?!.

Mwembechai waliingia na buti mpaka msikitini na kuinajis kibla, nani alishitakiwa?!.

Maandamano ya Chadema Arusha, waliwafyatulia risasi na kuua watu wawili mmoja Staendi Kuu na mwingine Unga Ltd, wakasingizia walitaka kuvamia kituo kikuu cha polisi!, wamechukuliwa hatua gani?!.

Jana nyie mmelizwa tuu kwa vibomu vya machozi ndio washitakiwe?!. Washitakiwe kwa lipi ili hali walikuwa wanaulinda muungano!.

Kama matumaini yako ni Maalim Seif kufanya lolote ndani ya ndoa yenu na CCM kwa jina la SUK, endelea kusubiria, wana ndoa wa ukweli wamekula yamini ya " collective resiponsibilities" ndio maana yuko kimya kama maji mtungini!.

Pasco,

Maneno mazito kwa mtu mwepesi haya!
 
Zanzibar imekuwa kama kupe mgongoni mwa ng'ombe. Haiishi kulalamika kwa nini ng'ombe hali vizuri, Let ZNZ GO
 
Polsii, Uamsho na wote wanaowashabikia ni wahuni wa kawaida. Badala ya kuangalia mambo muhimu mnatuletea hadithi za miaka 2000 iliyopita mkitaka tuishi kwazo!
 
Kwanza lazima tujiulize hao watu waliopigwa mabomu walikuwa eneo gani? Pili walikuwa wanahatarisha maisha ya wengine au kufanya jambo lolote linalohatarisha usalama wa nchi? Hapo walipokusanyika lengo lao hasa lilikuwa ni lipi? Chanzo cha mkusanyiko wao ni nini? Tutakapopata majibu ya maswali haya tunaweza kujadili kwa undani zaidi uhalali au uharamu wa kukusanyika eneo husika.
uamsho siku zote wana agenda za siri hakuna sababu ya kufanya uchunguzi nia yao ilikuwa kudhibiti ikulu wakadhani wataachwa kwa kisiongizio cha kuwaombea waliokufa. tangu linu ombi la mwenye dhambi kuu ya kudharau patakatifu ya kuchoma makanisa likakubaliwa?? kwanza walitakiwa wakung'utwe shaba za moto ndio wangeshika adabu. MAREKANI WANAWAVUTIA PUMZI WAJE WAWAKAMATE KAMA KUKU ALIYE LOWA.SIWAPENDI MAGIDI HATA WANGEKUJA KWA SURA GANI UTAWATAMBUA KWA MANENO NA VITENDO VYAO.
 
Sitaki kuwalazimisha watu waamini nnachokisema lakini siku ile ya vurugu sikuona sababu ya polisi kuvamia na aakupiga mabomu na kuvamia msikiti na kuunajisi kwa maji ya uasho na mabomu,mimi nilikuwepo eneo la tukio kwa kujua nakwenda kuitikia dua ya waliotangulia mbele ya haki siku ya ajali ya meli.na hakukua na matusi,ila inanifanya nisiamini kwamba nchi hii inafuata mfumo kristo kwa kuwafuta machozi akina pengo kwa kauli dhidi ya taasisi za kidini ikiwemo uamsho.sisi hatuna sababu ya kuchoma makanisa wala kuwabagua wasio kuwa waislamu tunataka heshima ya nchi yetu zanzibar,heshima ya rais wetu wa zanzibar ndani na nje ya nchi.wabilahi taufik.
 
Ukiona unafuatwafuatwa sana na kupigwa na polisi hata km huna kosa ujuwe kuwa wewe ni muhalifu uliekubuhu.hivyo uhalifu wako umewafanya polisi kuamini kuwa mahali popote utakapo unekana uwe na nia nzuri au ovu wao wanajuwa kuwa kitendo unacho kifanya ni cha kihalifu tu.kwa sababu umejijengea msingi huo.

Mkuu! Kwa usemi wako hapo juu unasemaje juu ya CHADEMA kufuatwa fuatwa sana na polisi hata wasipokuwa na kosa?
 
Bob G na Pascal......Heshima kwenu,
Huwezi kusema Muungano na dini na kuchoma kanisa.Wanaona Sirya na Libya wamepeta kwa kufanya vuguru wkt mpk sasa amani imepotea. Napenda sana watu wakifunguka na kusema ukweli juu ya hawa Uamsho, wanachokifanya upuuzi,meli kuzama mara ya pili naamini ni pigo la Mungu kwa kumchomea nyumba zake za Ibada(makanisa) japo wamekufa mchanganyiko lakini ni adhabu from our Lord Almighty God....

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums

Wacha kufuru zako, nani alokwambia M/mungu ana nyumba kama hizo za kanisa???

Kanisa=Ufisadi
 
uamsho siku zote wana agenda za siri hakuna sababu ya kufanya uchunguzi nia yao ilikuwa kudhibiti ikulu wakadhani wataachwa kwa kisiongizio cha kuwaombea waliokufa. tangu linu ombi la mwenye dhambi kuu ya kudharau patakatifu ya kuchoma makanisa likakubaliwa?? kwanza walitakiwa wakung'utwe shaba za moto ndio wangeshika adabu. MAREKANI WANAWAVUTIA PUMZI WAJE WAWAKAMATE KAMA KUKU ALIYE LOWA.SIWAPENDI MAGIDI HATA WANGEKUJA KWA SURA GANI UTAWATAMBUA KWA MANENO NA VITENDO VYAO.

Kwani wewe anakupenda nani na sio pekee yako anae ichukia uamsho mpo wengi lakini mnajitaabisha bure wewe chuki zako zitabaki kwenye moyo huna uwezo wowote kuizuia icfanye shughuli zake wewe baki na kanisa lako mkifanya ibada za kudanganyana hebu nieleze j2 hii utasamehe dhambi wangapi vile
 
Bob G na Pascal......Heshima kwenu,
Huwezi kusema Muungano na dini na kuchoma kanisa.Wanaona Sirya na Libya wamepeta kwa kufanya vuguru wkt mpk sasa amani imepotea. Napenda sana watu wakifunguka na kusema ukweli juu ya hawa Uamsho, wanachokifanya upuuzi,meli kuzama mara ya pili naamini ni pigo la Mungu kwa kumchomea nyumba zake za Ibada(makanisa) japo wamekufa mchanganyiko lakini ni adhabu from our Lord Almighty God....

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums

dah,mungu wako mkali,kauwa watoto,kina mama,watalii na Padri kwenye meli kawaacha uamsho wakipambana na police! Je mungu wako alikuotesha kosa walofanya wale wa MV bukoba 21/5/1996?
 
Last edited by a moderator:
Ukiona unafuatwafuatwa sana na kupigwa na polisi hata km huna kosa ujuwe kuwa wewe ni muhalifu uliekubuhu.hivyo uhalifu wako umewafanya polisi kuamini kuwa mahali popote utakapo unekana uwe na nia nzuri au ovu wao wanajuwa kuwa kitendo unacho kifanya ni cha kihalifu tu.kwa sababu umejijengea msingi huo.

Wagalatia wengi mnashindwa kuficha chuki zenu dhidi ya Uislam, na mapenzi yenu kwa CDM. UAMSHO wakipigwa virungu na kuitwa magaidi mnashangilia, CDM chama chenu wakiitwa magaidi na kuchapwa virungu mnalalamikia Polisi na CCM. Hakuna tofauti ya magaidi wote ni sawa tu, kama CDM wamefanya vurugu na kuua mtu Singida ni chama cha kigaidi na kamwe hata watu kama sisi tuliokuwa tunakubaliana na hoja zao japo sio Wagalatia tiunakosa imani nao, na hao uamsho kama wamefanya vurugu na polisi wamewachapa na kuwafikisha mahakamani kama walivyofanyiwa viongozi wa CDM basi hawana tofauti.
 
Bob G na Pascal......Heshima kwenu,
Huwezi kusema Muungano na dini na kuchoma kanisa.Wanaona Sirya na Libya wamepeta kwa kufanya vuguru wkt mpk sasa amani imepotea. Napenda sana watu wakifunguka na kusema ukweli juu ya hawa Uamsho, wanachokifanya upuuzi,meli kuzama mara ya pili naamini ni pigo la Mungu kwa kumchomea nyumba zake za Ibada(makanisa) japo wamekufa mchanganyiko lakini ni adhabu from our Lord Almighty God....

Kama Yesu ni Mungu na mnaamini atarudi basi bora asirudi hadi kizazi hiki kipotee chote, maana haiyumkini Mungu anatoa adhabu kali hapa hapa duniani kwa kuwaua kinyama watoto wachanga na wadogo, watalii wageni wasiojua lolote, na Padri aliyetoka kusoma miaka sita Tabora eti kwa sababu kanisa lake limechomwa moto. Namshauri Mungu wenu mtoto wa Maria asirudi na akirudi asije Tanganyika wala Znzbar kwa sababu inawezekana pia ndiye aliyawaadhibu wale waliokufa MV Bukoba ambao sikumbuki walichoma kanisa gani, lakini pia namshauri asije huku sababu atachanganyikiwa kuthibitisha nani ni MGALATIA wa kweli kati ya kina Gwajima, Kakobe, Mama Rwakatare, Mzee wa Upako, RC, Lutheran, Wasabato.
 
Back
Top Bottom