polisi waliopo kwa ulinzi wa raia,wamezidishiwa madaraka au???!!!

Rebel volcano

JF-Expert Member
Jun 1, 2012
403
86
wanakamatakamata ovyo boda boda na kuwahoji leseni usajili wa piki piki na ulipiaji kodi!!!!
wanakula rushwa za ovyo ovyo mpaka inakuwa karaha!!
siku nimetoka na pikipiki nipo maeneo ya posta mara naskia kelele"simamaaaaaaaa"kugeuka askari wawili wameacha benki ambayo ndiyo sehemu yao ya ulinzi wanasogea nilipo,nikageuza nikawafuata,baada ya mahojiano niliwaambia kutovaa helment nikosa sasa andikeni faini,hapo waliingiza vidole mpaka kwenye viatu hawakupata karatasi za fine.......nikasepa bila kuwapa hata mia tano.....
imekuwa karaha.
swali ni kwamba kama polisi wa kawaida kazi yao ndio hiyo kwa sasa kuna maana gani kuwa na matrafiki(askari wa barabarani)???!!!
askari wengi wanatumia madaraka yao kinyume na sheria!sijui kwa kuwa askari wengi kwa sasa ni vijana na kwa kuvaa kwao magwanda ya polisi wanaona wapo juu ya kila mtu??!!!
kama unatukio lolote baina yako na maaskari liandike kwa kirefu tufaidike!
 
Mkuu hawa vijana wananjaa sana hasa hawa wageni wa kampuni hiyo mimi ninafikiri wanaamuatu kufanya haya mambo kwa ihari yao na si kwamba ni majukumu walio pangiwa wanaboa sana wanajifanya wakaguzi wa kila kitu wananyanyasa sana vijana wa bodaboda. Kwa upande wapili mi nafikiri wanacheza kibati huu ni mradi labda wanapeleka hesabu kwa wakuu wao.
 
ni kweli kibwebwe
 
nakuunga mkono hao jamaa ni kero kubwa. hata hasa wale wanaoyembea na pikipiki.
 
Back
Top Bottom