Polisi wakubali mashujaa wa HAKI kupewa HESHIMA za mwisho viwanja vya NMC kesho!!

Mmewadanganya marehemu kuwa wao ni mashujaa, hakuna mashujaa ambao wanakufa kwa kugombea kupewa kiti cha umeya.

eti fisadi mtoto,wakati unashindia mihogo na maji,kweli mungu ana viumbe vingi humu duniani,unaelewa maana ya shujaa lakini?sikulaumu maana hata dira ya maisha yako mwenyewe tu hauna,kichwa yako imejazwa ujinga badala ya elimu
 
Hapo sawa, sasa nimeelewa. Wangewazuia watu kuhudhuria ibada ya mashujaa wao ningeumia sana na ningethibitisha kwamba hakika police wa TZ ni wauwaji wa raia na sio walindaji wao.

listen tz police, "SOCIETY NOW DAYS BRAND U AS KILLERS/ASSASIN RATHER THAN DEFENDERS" nawaonya mtumie intelijensia yenu kutokuhudhuria wala kusumbua raia kesho mana wanahasira sana na nyie, hatuwataki kabisa msije mkavuruga amani.

nawatakia maago mema mashujaa wa Arusha. Aluta continuaaaaaaa
 
Naomba nijulishwe source please, Nahitaji ksafiri leo toka Dar kuja Rausha kuhudhuria kama mashujaa wataagwa hapo NMC. Tafari source please.
 
Mmewadanganya marehemu kuwa wao ni mashujaa, hakuna mashujaa ambao wanakufa kwa kugombea kupewa kiti cha umeya.

My mother taught me long time ago and she said, "my son, in life, never talk bad of the stupid and the dead, you will live longer". I want to live long and I will therefore not talk bad about you nor our fallen heroes!!
 
Naomba nijulishwe source please, Nahitaji ksafiri leo toka Dar kuja Rausha kuhudhuria kama mashujaa wataagwa hapo NMC. Tafari source please.

Source ni Mwenyekiti wa Wilaya wa CHADEMA Dereck Magoma Jr. Utapata taarifa zaidi kwenye vyombo vya habari ili upate uhakika zaidi.
 
My mother taught me that in life I should never talk bad of the stupid and the dead!!
Mama yako anaogopa kifo na ndio maana anakwambia kuwa usiwaseme vibaya marehemu.wakina idd amini wanasemwa mpaka leo.......mauaji yale hayakuwa na umuhumi hata kidogo ni kama mmelazimisha....huwezi kuvamia kituo cha polisi eti mnakwenda kuwakomboa wakina mbowe alafu unataraji polisi wawachekee.......wangengoja mpaka kesho hao kina mbowe wasingetoka??????kifo cha kujitakia sawa na wale wanaojitoa muhanga huko middle east na watu wao wanawaita mashujaa kumbe ni wajinga.....hawa sio mashujaa
 
Ni wakati wa kuwaombea wenzetu waliouwawa bila hatia,LAANA KUBWA IENDE KWA YULE ALIYEAMRISHA RAIA WAPIGWE RISASI ZA MOTO. Atalipa damu hizo
 
Mama yako anaogopa kifo na ndio maana anakwambia kuwa usiwaseme vibaya marehemu.wakina idd amini wanasemwa mpaka leo.......mauaji yale hayakuwa na umuhumi hata kidogo ni kama mmelazimisha....huwezi kuvamia kituo cha polisi eti mnakwenda kuwakomboa wakina mbowe alafu unataraji polisi wawachekee.......wangengoja mpaka kesho hao kina mbowe wasingetoka??????kifo cha kujitakia sawa na wale wanaojitoa muhanga huko middle east na watu wao wanawaita mashujaa kumbe ni wajinga.....hawa sio mashujaa

aliyerusha risasi za moto ni nani...? waliouwawa walikuwa na silaha kama bunduki au...?........ mtoto usiwe mshabiki wa uvuvi wakati hauli samaki...
 
Fisadi mtoto kwako wewe mashujaa ni akina nani? Rostam, Lowasa, Makamba, Tambwe Hiza na majangili wengine au Shimbo na Si- Mwema??? Stupid!! Think before you talk
 
Hatutaki kuwaona hao kunguni (police) maeneo tutakayowaagia mashujaa wetu.:frog:
 
Mmewadanganya marehemu kuwa wao ni mashujaa, hakuna mashujaa ambao wanakufa kwa kugombea kupewa kiti cha umeya.

Wewe kweli ni mtoto wa fisadi and am not surprised to insult our fallen heroes, wewe inawezekana ni miongoni mwa hao assasin wa polisi and mark my word you will die alone and nobody will even bother to salute your dead body and your history will be forgotten, but our fallen heroes will be remembered for generation, and i know this is too much for you to swallow but this is it.
 
Mama yako anaogopa kifo na ndio maana anakwambia kuwa usiwaseme vibaya marehemu.wakina idd amini wanasemwa mpaka leo.......mauaji yale hayakuwa na umuhumi hata kidogo ni kama mmelazimisha....huwezi kuvamia kituo cha polisi eti mnakwenda kuwakomboa wakina mbowe alafu unataraji polisi wawachekee.......wangengoja mpaka kesho hao kina mbowe wasingetoka??????kifo cha kujitakia sawa na wale wanaojitoa muhanga huko middle east na watu wao wanawaita mashujaa kumbe ni wajinga.....hawa sio mashujaa

Let us be reasonable here. I am trying to be and I believe you will extend your hand and accept my gesture. Waliokufa hawakupigwa risasi polisi wa karibu na kituo cha polisi.

Mmoja alipigwa risasi shule msingi meru ambayo ni zaidi ya kilometre moja kutoka kituo cha polisi. Mwingine amepigwa maeneo ya uwanjani NMC karibu kilometre 2 kutoka kitu cha polisi. Na wote hawakuwa na silaha yoyote!!

Kisingizio kwamba walikuwa wanaenda kuteka kituo hakina umaana wowote. Marehemu Shirima alikuwa ni fundi wa magari na siku mauti yalipomfika alikuwa anatokea Sekei kuchukua gari. Inasemekana kwenye gari hiyo alikuwa amebeba oil ndipo taarifa za kiintellligensia za polisi zikawaambia ni petrol eti anaenda kulipua kituo!! Je waliikuta hiyo petrol? Unafikiri wangekuwa bado hawajajitokeza hadharani kuionyesha??

Vyovyote unavyotaka kuamini jaribu kuwa objective. Kama CHADEMA tulikosea unasema na kuonyesha tulipokosea. Kama kuna watu wamepoteza maisha unatoa pole na kujiuliza kwanini imetokea na kuchukua hatua! Ndio sababu mzazi wako alikupeleka shule, sio ili usome bali uelimike!!
 
Hatutaki kuwaona hao kunguni (police) maeneo tutakayowaagia mashujaa wetu.:frog:

punguza jazba ndugu, we need to prove wrong polisi kuwa we are not whom they want to brand us to be hivyo mpende adui yako na amani itatawala, tuwashughulikie kwa mujibu wa sheria na kuwa demonize mpaka wao watambue kuwa laana ya damu ya mwana wa nchi inathamani kubwa na haipaswi kumwagwa hovyo
 
Mungu mkubwa, tukawaage mashujaa wetu, Naomba wanachadema tusiwashambulie polisi ili waweze kupata sababu ya kutokea, mungu yupo malipo huwa ni hapa hapa duniani, nawamba sana wapiganaji wetu arusha tuoneshe ukomavu na ustahimilivu wa hali ya juu ili tuweze kuwa prove wrong polisi na mafisadi wa CCM
Yaani mimi nimesha jikoki wole wao walianzishe hiyo kesho...
 
Back
Top Bottom