Polisi wakiwa Udsm kudhibiti fujo. . . .

Calnde

JF-Expert Member
Oct 7, 2008
1,373
277
Hapo wamepaki eneo linaloitwa Rev Square kuhakikisha usalama! Tanzania hatuna polisi wakulinda maandamano ya katiba

kutokana na vitisho vya Alshabab. Lakini kuzuia wanafunzi wasigome wapo wakutosha.

attachment.php
 
Attachments

  • Polisi  Udsm.jpg
    Polisi Udsm.jpg
    71.2 KB · Views: 767
Hakuna marefu yasiyo na ncha. Wananchi wakiamua kuna siku udhalimu huu utaisha.
 
Hapo wamepaki eneo linaloitwa Rev Square kuhakikisha usalama! Tanzania hatuna polisi wakulinda maandamano ya katiba

kutokana na vitisho vya Alshabab. Lakini kuzuia wanafunzi wasigome wapo wakutosha.

attachment.php

huu ni udhaifu wa jeshi la polisi, na ubaya wa nguvu ya rais kuteua watendaji. Inakuwa vigumu kwa mteule mmoja wa rais, kumwajibisha mteule mwingine wa rais. Jeshi kama crime controller, linatakiwa kumkamata Mkulo kama hajapeleka pesa bodi ya mkopo, na kama bodi zisha pelekwa akamatwe mkurugenzi wa bodi aeleze kwa nini wananfunzi hawajalipwa pesa zao na kama bodi wamesha lipa, akamatwe mkandala kwa nini ameshikilia pesa za watu.

Jeshi limeshindwa kuwa PRO ACTIVE, bali limeendelea kuwa REACTIVE in nature.

tusipofight for our freedom, SERAFINA wa kwa mbeki hatotupigania
 
Nguvu zote hizi kudhibiti wanafunzi, walioiba ma bilioni wanaachwa wanatembea tu mitaani free
 
nimeshangaa hata kwenye milango ya lecture rooms defender zimepaki eti wanalinda usalama kwani kuna vita vya wenyewe kwa wenyewe? au wamesikia labda boko haram wamevamia nchi?
 
Hapo wamepaki eneo linaloitwa Rev Square kuhakikisha usalama! Tanzania hatuna polisi wakulinda maandamano ya katiba

kutokana na vitisho vya Alshabab. Lakini kuzuia wanafunzi wasigome wapo wakutosha.

attachment.php

hapo nizaidi ya kujiandaa na alshabib
 
Hapo wamepaki eneo linaloitwa Rev Square kuhakikisha usalama! Tanzania hatuna polisi wakulinda maandamano ya katiba

kutokana na vitisho vya Alshabab. Lakini kuzuia wanafunzi wasigome wapo wakutosha.

attachment.php

Hii nguvu ni kubwa mno ikilinganishwa na aina ya watu wanaodhibitwa ambao silaha waliyokuwa nayo muda huo ni kalamu.
 
Mnaongea nini makosa ya kuchagua kiongozi mlikosea nyinyi wenyewe leo mnapiga kelele acheni si mlisema kijana mpole,handsome,mnataka mabadiliko nashukuru mungu mabadiliko kweli tumeyaona i)kukosa mikopo wanafunzi ii)maisha kuwa magumu zaidi iii)mafuta bei juu
iv)mashirika kufa ATCL,TRL
v)polisi kuwa vibaraka badala yakulinda amani wao ndio watumwa
 
dah pole yao ila ndo nilikotokea uko, sitasahau siku niliyomwagiwa maji washa nililia kama nimefiwa vile. enzi za kina DAVID SILINDE, sasa ni mbunge. duh UDSM tuliteseka kuanzia 1st year mpaka 3rd namaliza chuo tuligoma.
 
There is a very little deference between this officers and the other one which are of species Canis lupus familiaris which are actually doing the same job as them! They Never use their heads
 
Hivi kwa mlioko Dar es Salaam, Askari Police bado wanalala kwenye mabanda ya nguruwe pale Oysterbay?
 
Uwezo wa POLICE wetu kufikiri ni mdogo mno!! Lakini uwezo wao wa kujisifu ni mkubwa mno!! na uwezo wao wa kupambana na wahalifu wenye siraha ni mdogo mno!! ila uwezo wao wa kupambana na waharifu wanaodai haki wasio na siraha ni mkubwa mno!! Ombi kwa Mzee Mwema Fundisha Askali wako wajue kuuliza swali maana ukiuliza ndio utajua njia. Huwezi kuwapiga wasomi. wala huwezi kupeleka magari namna hii Chuoni!! Tafakari!
 
poleni sana wanafunzi ndo serikali yenu ya magamba. fanyeni unganeni ili tuitoe madarakani.
 
Hii ndio serikali ya Jeikei kua too much legelege hasa kudeal na important issue.
 
Back
Top Bottom