Polisi wafukuzwa kwenye nyumba waliyopanga na mwenye nyumba: Kisa? Mauaji ya raia

Kama kweli mmeamua hivyo kwa polisi wote sawa..lakini pia mkivamiwa usiku msiwaite wala kupeleka kesi yoyote polisi
Hiyo si ndiyo kazi wanayolipiwa mshahara? vinginevyo waache kazi,majukumu yao lazima watimize.
 
Nadhani chuki kati ya polisi na raia inazidi kuongezeka tunaelekea pabaya sana

Hatuelekei pabaya..tayari tuko hapo 'pabaya' wacha na wenyewe waonje joto ya jiwe..kama hujakutana nao kwenye anga zao hujawajua..
 
Kesho nafuatilia kwa ukaribu zaidi! Na endapo watajitia kiherehere kwenda mahakamani nitamtetea mwenye nyumba bure! Ngoja nipate taarifa kamili! Hatua kama hizi ni muhimu kufikisha ujumbe wa kukerwa na vitendo vyao!!

Mzee mambo vp? mzima? habari za siku nyingi bana?
 
Mwenye nyumba mkoani arusha awatimua polisi wawili waliokuwa wamepanga nyumbani kwake! Huu ni ushahidi wa hasira za wananchi kwa polisi na matendo yao! Polisi mmoja apigwa na raia alipooenda kunywa supu kwenye barr! Hivi sasa polisi wanatembea kwa makundi Arusha!

Safi sana wao hata bidhaa wasiuziwe
 
....wakome ku-obey illegal orders!!! f^%^%ck the Police.....nini kufukuza,piga kabisa!!!
 
Kama kweli mmeamua hivyo kwa polisi wote sawa..lakini pia mkivamiwa usiku msiwaite wala kupeleka kesi yoyote polisi

Kwani siku hizi ulisikia watu wanaita polisi wakivamiwa usiku?? Hata wakiwaita wanakuja asubuhi. Polisi wetu hawakamati mhalifu ambaye ulimtaarifu kwa kupiga sim, wanakamata wapiga debe stendi na madaladala
 
Aliyeagiza polisi kutenda waliotenda milele atakumbukwa na polisi nchi nzima kwa kuwaoteshea mbegu hii mbaya iliyochafua mahusiano kati ya jeshi hili na raia. Je, S. Mwema na wengine wote wanaohusika na tukio hili bado wanataraji kupewa raia wawaunge mkono. ulinzi shirikishi itakuwa dhana mfu sasa- nani alinde na muuaji wake? Kwa haya bado wanafikiri wameitndea nchi jema au ni huo unafiki wa kuwa ni bahati mbaya? Twasema - Mchezo wenu ni mauti yetu. Sijui mtafanya nini mzibe ufa mliojenga!

Mungu ibariki Tanzania.
 
Kuna jamaa hapa jirani alikuwa na mchumba wake polisi binti mzuri,baada ya mauaji kufanyika juzi wame-break mahusiano,
 
Arusha mmeanza vema, vuta kamba kitaeleweka tu. Tuone wao polisi na silaha zao,nani ataumia? hakuna ushirika na polisi sasa, wao wajijue na familia zao
 
Mzee mambo vp? mzima? habari za siku nyingi bana?

salama kiongozi, mambo ndio kama hivi hawa wapuuzi wamejidai wajuaji kutupiga risasi na mabomu! Ila safari ndio imeanza!!

Good news, Wilaya ya Hai tumechukua uenyekiti wa Halmashauri. Wamejishaua muda wote mwishowe wamekubali! Tungelemaa wangetuchakachua hawa mbuzi!
 
Kwani siku hizi ulisikia watu wanaita polisi wakivamiwa usiku?? Hata wakiwaita wanakuja asubuhi. Polisi wetu hawakamati mhalifu ambaye ulimtaarifu kwa kupiga sim, wanakamata wapiga debe stendi na madaladala

Dah hii kiboko!! Sasa asubuhi huwa wanakuja kufanya nini? Kuokota simu zilizoanguka au?
 
Kufukuzwa tu nuymba ya kupanga?....inawezekana wamechukua hatua ya kuhama wenyewe wakihofia usalama wao wakijichagasnya na raia na kujifanya walinzi wao wakati ni maaduii wa kubwa wa watz na rafiki wakubwa na ccm na kikwete ambavyo watz wamevichoka.................nadhani tuwachome moto tu popote walipoi waache kukubali kila ccm inachosema
 
Hiyo ndiyo inaitwa "People's Power!" - Hata mwananchi wa kawaida anaweza chukua hatua as long as haki inamruhusu! Ni kweli inawezekana sio polisi wote walifanya dhambi pale Arusha, lakini hatua MBAYA waliyoichukua wachache inatoa picha ya namna gani na wengine wangepata mwanya wangepiga pia raia - kama polisi kazi yao ni kulinda raia na kusimamia haki za raia kwanini waliamua kufanya vile walivyofanya? lazima kuna "motive" behind the action vile vipigo havikuwa bure hata kidogo. Sasa kama ni uchochezi wa vurugu na uanzishwaji wa mauaji basi Serikali ya TZ ndio itakayobebeshwa lawama maana idara zote nyeti POLISI ikiwa mfano, ziko chini ya mamlaka ya serikali.
 
Back
Top Bottom