mbezibeach
Senior Member
- Oct 4, 2010
- 119
- 7
Hawa mbwa mimi nimewapa sana beer Morogoro, Mikumi,mbezi beach, Africana, Tegeta na pale Zero pub Teteta Kibaoni...Ila kuanzia sasa nina hasira nao kinyama..
Polisi wanalipwa mishahara tokana na kodi zetu kwa nini wapate usafiri wa bure?
Mabasi yote ruksa kudai nauli toka polisi kwanza hawajali uhai wa raia
hii kaliKwa wavuta sigara polisi akigongea hakuna kumpa fegi! Hakuna bia za bure tena wakija bar!! Kwani ni chadema wote wangevunja amani? Mbona walipiga watu wote? Hatutachagua vile vile
Mzizi wa haya yote ni kuwa na Katiba mpya itakayoweka wazi majukumu ya Polisi na wanasiasa. Polisi wa leo hasa wenye vyeo wanatumiwa kisiasa zaidi baada ya kuona vyeo vyao ni kama zawadi waliyopata toka kwa wanasiasa na hivyo kunatakiwa kuwa na quid pro quo kati yao na wanasiasa hasa CCM. Wanasahau kuwa front liners wao wanatakiwa kuwa na mahusiano mazuri na raia ili kufanya kazi yao kuwa rahisi. Ili kufanikisha hayo polisi hawana budi kupokea amri halali toka kwa wakubwa zao badala ya amri za kisiasa.
Nina hakika kuwa kama wanasiasa watanyimwa power ya kuwaondoa polisi madarakani kwa kuwa wamekataa kutekeleza amri zao basi tutakuwa na jeshi imara lenye kufanya kazi bila kuangalia rangi kijani, kaki, au nyeupe. Wanasiasa wanawaweka polisi katika wakati mgumu sana kiutendaji kwa kutoa amri haramu dhidi ya raia wema. Matokeo yake polisi inabidi wadanganye ili kuhalalisha amri walizopewa nyuma ya pazia na wanasiasa wenye uchu wa madaraka hata kwa kunywa damu ya watanzania kama ilivyotokea Arusha. Tutakumbuka January 26 na 27 2001 kule visiwani polisi walivyotumika isivyo na kuliingiza Taifa katika lists ya nchi zilizowahi kutengeneza wakimbizi Africa. Na kilichofuata ni asante toka kwa Mkapa kuwapandisha vyeo wauaji wale. Kitendo kile ndicho kinafanya mpaka leo polisi wasiokuwa na akili kuamini kuwa njia pekee ya kufanikiwa ni kuonesha CCM kuwa wapo upande wao kwa kakandimiza upinzani.
Au unampa fegi yenye ganja, ha ha haaaa!Kwa wavuta sigara polisi akigongea hakuna kumpa fegi!..
Na bado,Mwenye nyumba mkoani arusha awatimua polisi wawili waliokuwa wamepanga nyumbani kwake! Huu ni ushahidi wa hasira za wananchi kwa polisi na matendo yao! Polisi mmoja apigwa na raia alipooenda kunywa supu kwenye barr! Hivi sasa polisi wanatembea kwa makundi Arusha!
Hawa mbwa mimi nimewapa sana beer Morogoro, Mikumi,mbezi beach, Africana, Tegeta na pale Zero pub Teteta Kibaoni...Ila kuanzia sasa nina hasira nao kinyama..na ni lazima nitaua polisi wawili kwa njaa zao.
Au unampa fegi yenye ganja, ha ha haaaa!
Chondechondo jamani,tusiwachukie polisi,hawa ni walawala hoi wenzetu.Wanatumiwa na mafisadi&wanasiasa(CCM) kufanya mauaji!!