Polisi wafanya unyama mpya mgodini Nyamongo

Ipo siku raia tutachoka.vibanda vyenu vyote tutavitia match box,hapo itakuwa mbwai mbwai.
 
usitoe akili!
Kama walivamia wangewakamata na kuwafikisha mahakani, hizi bunduki naona zinawawasha hawa polisi, ni bora tumvamie Joyce Banda (nia tunayo, uwezo tunao na sababu tunayo) halafu hawa polisi tuwaweke mstari wa mbele, kwani wanaonekana kuwa wanashabaha sana, watatusaidia kushinda vita mapema.

Radhia!! kazi ya Polisi ni kuua au kukamata wahalifu? Natumai wewe ni mtoto wa Polisi au umelelewa na Polisi!!
 
sababu kuu ya polisi kutumia nguvu ni pale ambapo wanaona usalama wao au wa wanaowalinda uko hatarini. Kitendo cha kuvamia na kushambulia mgodi kinachozoeleka kufanywa na wananchi waishio migodini kinaweza kuwa mfano mzuri wa sababu inayoweza kuwafanya askari kutumia nguvu za ziada. Sidhani kama ni sahihi maisha ya watu wengi yahatarishwe kwasababu kuna wananchi wanajisikia kufanya hivyo.

nadhani uelewa wako wa sheria wako na polisi wako ni mdogo mno,hivi uanjua polisi anatakiwa kufanya nini kwa mwanchi au kwa kuwa wananchi elimu ya urai kwao ni ndogo sana?usitetee uovu, everything is already naked! Time is almost up!
 
Mwandisi Daudi Mwangosi aliuawa na polisi kwa kutotii amri gani ya mwanzo ??
Yaani polisi zaidi ya saba wenye silaha za moto walimzingira mwandishi !!! Wakamtesa sana na kumuua !!
Eleza katika tukio hili Mwandishi alikaidi amri gani ya kwanza ??
Eleza hili kwanza kabla ya kutetea mauaji, maana kwa kutetea mauaji haya, wewe mwenyewe unashiriki dhambi hii ya mauaji.
Atawalaye kwa upanga, hakika atakufa kwa upanga.

attachment.php
 
Marehemu Ally Zona (Morogoro) akiwa kwenye kibanda chake cha magazeti aliuwawa kwa kushindwa kutii amri gani ya polisi?

Marehemu Daudi Mwangosi (Iringa) akiwa katika kutekeleza majukumu yake aliuwawa na polisi kwa kulipuliwa na bomu kwa kushindwa kutii amri gani ya polisi?

Ukiwa na kichwa cha kuku huwezi kuuona huu ufirauni wa polisi, utaishia kuwashabikia tu hadi hapo ndugu yako ama wewe mwenyewe litakapokukuta ndipo utapata akili.

Hapa tunazungumzia suala la Nyamongo. Suala la morogoro na iringa hata mimi natupia lawama polisi. Kweli ukweli nasema ukweli
 

Hawa wanaonekana kuwa mahiri kutekeleza majukumu yao wanapokabiliana na raia wasiokuwa na silaha yoyote, hata jiwe hawana.
Wakisikia kuna majambazi sehemu hawathubutu kutia pua zao. Juzi tu kulikuwa na uvamizi benki ya CBA jengo la jamana lakini hakuna polisi wala FFU aliyethubutu kufika eneo la tukio hadi walipohakikisha kwamba majambazi wameondoka.
 
Hawa wanaonekana kuwa mahiri kutekeleza majukumu yao wanapokabiliana na raia wasiokuwa na silaha yoyote, hata jiwe hawana.
Wakisikia kuna majambazi sehemu hawathubutu kutia pua zao. Juzi tu kulikuwa na uvamizi benki ya CBA jengo la jamana lakini hakuna polisi wala FFU aliyethubutu kufika eneo la tukio hadi walipohakikisha kwamba majambazi wameondoka.

Mkuu, kwani hujawahi kusikia wazee wa kazi wanaenda kupiga tukio kwenye magodauni usiku wakiwa wamesindikizwa na defender za polisi?!!
 
Hawa wanaonekana kuwa mahiri kutekeleza majukumu yao wanapokabiliana na raia wasiokuwa na silaha yoyote, hata jiwe hawana.
Wakisikia kuna majambazi sehemu hawathubutu kutia pua zao. Juzi tu kulikuwa na uvamizi benki ya CBA jengo la jamana lakini hakuna polisi wala FFU aliyethubutu kufika eneo la tukio hadi walipohakikisha kwamba majambazi wameondoka.

Hususan raia wanotangaza kuwa "nchi haitatawalika".
 
kuna mtu anachangia ukabila na historia za kulishwa sumu humu kuwa watu wale ni wakorofi na ujinga mwingi lakini je?
1vipi kuhusu mrahaba wa mapato ambayo wananchi wanapata ni sahihi kupata 3% ya mauzo ya dhahabu km taifa?
2 ni shughuli gani za kijamii ambazo wamewezeshwa wazawa na serikali unayoitetea ili waache kazi yao ya kihistoria ya kutafuta madini?(ikumbukwe tangu mwanzo wa maisha yao watu wa nyamongo waliishi maisha ya uchimbaji)
3social services zilizoimarishwa pale na wawekezaji ni zipi?
4 jaribuni kuangalia hili tatizo la polisi kuuwa si la huko tu kesho wanapozoea wanaona ni kawaida watakuuwa hata wewe mjinga unayejaribu kuwatetea
 
Ukweli nakuheshimu sana mzee mwanakijiji,kwa nini kwanza tusiwafundishe raia kutii mamalaka na kuacha vurugu? haiingii akilini eti polisi aje nyumbani kwa mtu ampige pasi na sababu! hebu tuache ushabiki!
mwenzako akinyolewa wewe tia maji iko siku utaona ujinga wa polisi tuombe mungu yatakukuta tu
 
Unapata faida gani unapoandika uongo? Kwamba POLISI WAMEVAMIA BARABARA NA KUANZA KUPIGA WATU! Historia ya mgodi wa nyamongo imeshaandikwa sana. Mahusiano kati ya wananchi wanaozunguka mgodi na mgodi wa nyamongo imeshazungumzwa sana. Ujeuri wa watu wa Tarime unafahamika fika
Wananchi wa Tarime huwa wanadai ile ni mali na wana haki ya kuingia mgodini na kuchukua dhahabu. Je warusiwe waingie? Only a fool can agree. Kilichotokea wiki iliyopita ni hiki hiki cha kutaka kuingia mgodini wakiwa na mapanga, sime marungu n.k. Jamani jaribuni kufika Tarime au Rorya muone jinsi watu wa huko walivyowakatili. Polisi wamefanya kazi nzuri sana kurejesha hali ya usalama katika mkoa wa Mara.
umeongea ujinga mwingi saana lakini hakuna point yeyote kubwa ulioanisha kama mtu mwenye akili tofauti na kuwalable watu kwa a ni wajeuri wewe una kipimo cha kupima ujeuri hebu tupatie takwimu ya wanaoongoza mpaka wa mwisho,unataka waseme ni mgodi wako au wa kikwete au wa wazungu ile ni natural resourse iliwekwa pale purposely na mungu sio ccm wala mama zao eti waliwazawadia watu mgodi polisi pale wanaiba dhahabu popote wanapoiona na ikumbukwe ile milima ambayo vijana wanaokota mawe ni residue tu za mawe wala watu hawajawahi vamia mgodi mgodi ni kule room pad na plant umewahi kuona mtu huko heri mkoloni mweupe kuliko wapumbavu kama nyie na serikali yenu wajinga
 
tunazo mpaka namba za polisi na wengine wanauza dhahabu tunazo picha za polisi wamewakata watu wanachukua pesa pale nyamongo polis pale wanacheza dili ikitibuka wanaanza kupiga watu risasi si muda tutaanika humu ukweli hatuwezi kuvumilia mambo ya kijinga na mwisho tutakaa tujadili namna ya kujilinda wenyewe
 
pamoja na wanaharakati, wasomi, na wanahabari, wanasiasa na wanajamii kuingiwa na wasiwasi na kujitahidi kulaani unyama uliofanywa na polisi kule iringa kwa kuua mwandishi wa habari wakituo cha television chahanel 10.

Leo kama kwaida yao wameonesha ubabe mkubwa kwa kuvamia barabara na kuanza kupiga wananchi huko tarime mara kwenye makazi yaliyo karibu na mgodi wa north mara hatimaye wakarusha risasi na mabomu yaliyojeruhi akina mama wawili na watoto watatu, kwenye mji wa mzee ngewa ikumbukwe kuwa tarehe 29 walikuwa wameua watu watatu jamani tunaenda wapi
acha uchonganishi kaka toa habari kamili sio yakuonyesha polisi tu wao ndio wakosaji..sema hao waliopigwa wamefanya nini na wameonewaje.je kama walikuwa wanahatarisha maisha ya askari je wangefanyaje zaidi ya kuwafyatulia machozi bomb?
 
nadhani uelewa wako wa sheria wako na polisi wako ni mdogo mno,hivi uanjua polisi anatakiwa kufanya nini kwa mwanchi au kwa kuwa wananchi elimu ya urai kwao ni ndogo sana?usitetee uovu, everything is already naked! Time is almost up!

Wewe unayejua si uelezee sasa. Mbona umeishia kubwabwaja tu bila hata kutoa argument. Vimtu vingine bwana.
 
Hao wananchi walipigwa tu bila sababu za msingi? Kama walivamia eneo la mgodi, sidhani kama kulikuwa na makosa upande wa askari. Askari walikuwa wakitimiza wajibu wao wa kazi kama kawaida.

Kwa tarifa yako sheria haziruhusu kupigwa au kuadhibiwa na Jeshi la polisi kwani hilo ni jukumu la Mahakama.
 
hao wananchi walipigwa tu bila sababu za msingi? Kama walivamia eneo la mgodi, sidhani kama kulikuwa na makosa upande wa askari. Askari walikuwa wakitimiza wajibu wao wa kazi kama kawaida.
natamani kifo chako kitokane na polisi
 
Back
Top Bottom