Polisi waendeleza mauwaji zidi ya watanzania wa siyo na hatia..

Crashwise

JF-Expert Member
Oct 23, 2007
22,227
8,735
Polisi wa Tanzania mkoani Mara wameendelea na mauwaji kama kawaida yako ni kwenye mgodi wa nyamogo, wamemuua kijana mmoka na mwingine kumjeru vibaya... jamani serikali ya CCM mnataka kutuua watanzania wote halafu watu wakiongea mnasema wanatishia amani je mnayo ihubiri ni hiyo kuwa twanga watanzania risasi.
 
Siamini kama polisi wa Tanzania yetu wanaweza kufanya hivyo usiwaharibie jina na kuliharibia Taifa sifa zake zilizo jijengea ndani na nje ya nchi
 
mkuu wamempiga kijana risasi ya mgongo na kutokea kifuani leo asubuhi...
 
Siamini kama polisi wa Tanzania yetu wanaweza kufanya hivyo usiwaharibie jina na kuliharibia Taifa sifa zake zilizo jijengea ndani na nje ya nchi

Polisi wa tz ni policeccm.Hawana haki wala sifa ya kuwalinda hata kuwasifu.Ni wauaji wa kwanza kwa Maslahi ya ccm.Siku zenu zimehesabika na inaweza kuwa na wewe unakula na kufaidi kupitia damu za watanzania.Vurugu zote zinatokea hapa tz chanzo ni
 
Back
Top Bottom