Polisi waahidi kulifanyia uchunguzi tukio la utekaji wa Dr. Stephen Ulimboka

pia mimi nimemsikia Kova akiongea, anasema aliyepigwa ni mkuu wa upelelezi wa kituo cha polisi SELANDER BRIDGE, anasema madaktari walimshuku tu ndo wakamnyang'anya radio call na kumpa kichapo lakini hakuwa mtu mbaya alikuwa akipeleleza tukio lenyewe.
 
Mimi ni mwalimu mwenye degree ya sayansi. Niliajiliwa miaka mitano iliyopita lakini mshahara wangu hadi sasa ni tshs 720,000/=. sasa najiuliza huyu daktari kanizidi nini kielimu hadi apate mshahara wa tshs 990,000 kianzio na sasa anataka 3.5m jeuri hii anaitoa wapi? Nashangaa sana kwa nini watu wanashabikia wakati mishahara ya tanzania daktari ndiye anayeongoza kwa kulipwa mshahara mkubwa serikalini. Mimi naona mgomo huu si bure una hila nyuma yake. Keki hii ya taifa ni yetu sote kwa nini nyinyi mjione sawa na wakurugenzi waliosota miaka dahari kulipwa mshahara mnaodai?shame on you. sisi walala hoi mnatuumiza, nyinyi mnatibiwa hospitali za private, think of those who are paid below 170,000 pm waende wapi? Hizi ni siasa chafu ambazo hazifai kushabikiwa. Watu nakufa kwa hila hizi yuo must stop. I am fade up, hapa mhimbili hatupati huduma tuende wapi?
 
I really hope they are serious at least for once this time!
Maana nchi yetu mtu akishakuwa victim wa vitendo kama hivi ni basi, remedy inaishia kwenye maneno ya kufarijiana na kutiana moyo tu.

I am sure polisi wakiamua kiukweli lazima watakamata wahusika na sheria kuchukua mkondo wake. No matter the reason for the punishment and injuries suffered by the Doctor, no one is permitted to do this to a fellow human being.

Let there be justice and serious follow up.

Pole sana Doc. and do get well soonest.

Polisi waahidi kulifanyia uchunguzi tukio la utekaji wa Dr. Stephen Ulimboka.
Taarifa zilizonifikia ni kwamba ACP Ahmed Msangi wa kanda maalum ya Dar es Salaam ataongoza kikosi cha wapelelezi kufanya Uchunguzi wa tukio hilo.
GET WELL SOON Dr. ULImboka.
 
Mimi ni mwalimu mwenye degree ya sayansi. Niliajiliwa miaka mitano iliyopita lakini mshahara wangu hadi sasa ni tshs 720,000/=. sasa najiuliza huyu daktari kanizidi nini kielimu hadi apate mshahara wa tshs 990,000 kianzio na sasa anataka 3.5m jeuri hii anaitoa wapi? Nashangaa sana kwa nini watu wanashabikia wakati mishahara ya tanzania daktari ndiye anayeongoza kwa kulipwa mshahara mkubwa serikalini. Mimi naona mgomo huu si bure una hila nyuma yake. Keki hii ya taifa ni yetu sote kwa nini nyinyi mjione sawa na wakurugenzi waliosota miaka dahari kulipwa mshahara mnaodai?shame on you. sisi walala hoi mnatuumiza, nyinyi mnatibiwa hospitali za private, think of those who are paid below 170,000 pm waende wapi? Hizi ni siasa chafu ambazo hazifai kushabikiwa. Watu nakufa kwa hila hizi yuo must stop. I am fade up, hapa mhimbili hatupati huduma tuende wapi?

usilaumu jamii, jilaumu wewe mwenyewe. Hizo unazozipata zinakutosha ndio maana upo kimya, na uwoga wako ndio umaskin wako, utaendelea kupata hizo hizo. Bado unajisifu umefanya kazi muda mrefu, you will die poor. Wache wanaojua haki zao wafight kupata haki zao. Wache wafu wazikane na wafu, utaishio kuona wanzako wanazidi kukupiga gape we upo hapo hapo. Shauri yako mwalimu.
CPA(T)-kagera nyumbani
 
Mimi ni mwalimu mwenye degree ya sayansi. Niliajiliwa miaka mitano iliyopita lakini mshahara wangu hadi sasa ni tshs 720,000/=. sasa najiuliza huyu daktari kanizidi nini kielimu hadi apate mshahara wa tshs 990,000 kianzio na sasa anataka 3.5m jeuri hii anaitoa wapi? Nashangaa sana kwa nini watu wanashabikia wakati mishahara ya tanzania daktari ndiye anayeongoza kwa kulipwa mshahara mkubwa serikalini. Mimi naona mgomo huu si bure una hila nyuma yake. Keki hii ya taifa ni yetu sote kwa nini nyinyi mjione sawa na wakurugenzi waliosota miaka dahari kulipwa mshahara mnaodai?shame on you. sisi walala hoi mnatuumiza, nyinyi mnatibiwa hospitali za private, think of those who are paid below 170,000 pm waende wapi? Hizi ni siasa chafu ambazo hazifai kushabikiwa. Watu nakufa kwa hila hizi yuo must stop. I am fade up, hapa mhimbili hatupati huduma tuende wapi?

kwanza unapata hela nyingi sana. Fikiria muda uliosoma kupata ualimu na ufikirie muda daktari anatumia ndo ufikirie tena kazi ya daktari ni ipi na ulinganishe na yako then upime mwenyewe. Kwanza watoto wetu wanapata zero kedekede kila mwaka na we wajigamba hapa kwa maneno makali. Ulishahoji mishahara ya TRA au BOT? Je, mishahara ya mawaziri na makatibu waijua? Ya wakurugenzi je? Wana haki ya kudai kwani nyie siri yenu imejulikana mnatumia vyeti vya watu wengine na ndiyo maana hauoni kama kuna tatizo. Kazi njema.
 
Naomba mnikumbushe Magamba walipo-Mkolimba KOLIMBA Nani alifanya uchunguzi na majibu yalikuwa vipi na sasa baada ya Ku-MU-Uliboka Ulimboka hakuna lolote litalofanyika ni u-sanii tu,
 
Mimi ni mwalimu mwenye degree ya sayansi. Niliajiliwa miaka mitano iliyopita lakini mshahara wangu hadi sasa ni tshs 720,000/=. sasa najiuliza huyu daktari kanizidi nini kielimu hadi apate mshahara wa tshs 990,000 kianzio na sasa anataka 3.5m jeuri hii anaitoa wapi? Nashangaa sana kwa nini watu wanashabikia wakati mishahara ya tanzania daktari ndiye anayeongoza kwa kulipwa mshahara mkubwa serikalini. Mimi naona mgomo huu si bure una hila nyuma yake. Keki hii ya taifa ni yetu sote kwa nini nyinyi mjione sawa na wakurugenzi waliosota miaka dahari kulipwa mshahara mnaodai?shame on you. sisi walala hoi mnatuumiza, nyinyi mnatibiwa hospitali za private, think of those who are paid below 170,000 pm waende wapi? Hizi ni siasa chafu ambazo hazifai kushabikiwa. Watu nakufa kwa hila hizi yuo must stop. I am fade up, hapa mhimbili hatupati huduma tuende wapi?
Tofauti ni kuwa nyie walimu mlifeli mitihani ndio maana mkakimbilia ualimu baada ya kukosa options wakati madaktari walifaulu mitihani ndio wakabahatika kuchaguliwa kusomea hiyo fani. Nyie walimu ni makapi na wao madaktari ni cream, hamuwezi kulipwa sawa, hata hiyo laki 7 wamekupendelea inatakiwa kupunguzwa. Pia udaktari unasomewa miaka 6 wakati kuna walimu hadi wa vodafasta ambao hata wiki moja darasani hawajakaa. Pia ualimu unapatikana hata kwa vyeti bandia lakini daktari anaapishwa kabla ya kazi, upo hapo we ticha.
 
Huu ni usanii mtupu, wanachunguza nini wakati wanakijua chanzo cha haya yote? Kesi ya mwewe apelekewe Kipanga?
 
Alisha toa go a head kwa makachero wa usalama wa taifa, na alijua wameshamuua (kutokana na tarifa aliyopewa na mmkuu wa makachero) ndo maana akatoa tamko hilo mjengoni, Lakini Mungu si Athumani! Dr Ulimboka bado anapumua!
Liwalo na LIWE
 
uMESHAAMBIWA WENYE UCHUNGU WAENDE WAKAJIFUNGUE HOSPITALI..KWELI HAO NDIO VIONGOZI TULIONAO NNCHINI TENA WANAZUNGUMZA NDANI YA BUNGE SIO VIJIWENI
Haha, nani kasema hilo? Hii kiboko, na watoto wake wamemsikia?
 
[h=6]Polisi waahidi kulifanyia uchunguzi tukio la utekaji wa Dr. Stephen Ulimboka.
Taarifa zilizonifikia ni kwamba ACP Ahmed Msangi wa kanda maalum ya Dar es Salaam ataongoza kikosi cha wapelelezi kufanya Uchunguzi wa tukio hilo.
GET WELL SOON Dr. ULImboka.
[/h]

Hivi matokeo ya uchunguzi wa polisi wa mauaji ya raia uliofanywa na polisi mjini songea yalikuwaje?
 
Back
Top Bottom