Polisi wa Tanzania wanafanya mavituuuuz

MaxShimba

JF-Expert Member
Apr 11, 2008
35,772
4,054
35500_290334634385820_929031218_n.jpg
 
intelejensia hizo noma tupu! Jamaa wakitoka hapo ni kubambika watu kesi, kuvuruga maandamano na kula rushwa tu!
 
Jamani natumha ka-nokia kadogo picha hazionekani vizuri. Kwani zinamaanisha nini?
 
Duh hii kali!!! Wenzetu wako katika Sayansi na Teknolojia, sisi ndio kwanza tuko enzi za mawe.
 
wakimaliza hilo zoezi wakabizi buti coz hawatakuwa na haja tena ya kuzivaa..anyway nyc pic sijui ni za kutoka kule kwenye duka letu la pic
 
Mbona hii staili ya moto kama ya kutambikia hivi, inahusu nini na kazi yao, wengine hata kufukuza mwizi hawawezi kwa ajili ya vitambi vikubwa.
 
kwa kiongozi maana yake ww ni wakwanza kila ktu na ww ndyo mfano ndyo maana hapo mzee wa kamanda kanda maalumu anajitahd kuonyesha anaweza kupita kwenye moto.
 
Mi chichemi maana baba angu ndogo yupo hapo nyuma ya kova...atanchapa nikichema
 
Back
Top Bottom