Polisi wa kitanzania kwa kuchapa wapo hodari sana ehhhhhh AFANDE PIGA UWA

dah, huyu polisi ni hovyo kabisa, hivi kupata kazi ya upolisi inabidi uwe na sifa gani, hawa polisi wa Tz uwezo wao wa kufanya kazi upo chini sana au ndivyo jinsi walivyofundishwa?
inabidi usiwe na akili ya kufikiria, uwezo wako uwe mdogo ni ule wa kuambiwa fanya na una tenda kama ulivyoambiwa hata kama ni kujimaliza na unatakiwa pia kuchukia maendeleo na kuona wengine wamepata kwa sababu ya wewe kukosa...we need a better police force for sure...
 
polisi wanahasira sababu hawa waandamaji wanawapotezea wakati wao ambao wangeutumia kutafuta riziki barabarani - ndio maana wanawapiga hivyo
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom