Polisi wa kitanzania kwa kuchapa wapo hodari sana ehhhhhh AFANDE PIGA UWA

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,316
33,125
UDSM.jpg

Polisi akimpiga mmoja wa Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam walipoandamana kushinikiza kupewa mikopo.
 
UDSM.jpg

Polisi akimpiga mmoja wa Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam walipoandamana kushinikiza kupewa mikopo.

dah, huyu polisi ni hovyo kabisa, hivi kupata kazi ya upolisi inabidi uwe na sifa gani, hawa polisi wa Tz uwezo wao wa kufanya kazi upo chini sana au ndivyo jinsi walivyofundishwa?
 
UDSM.jpg

Polisi akimpiga mmoja wa Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam walipoandamana kushinikiza kupewa mikopo.


huyu polisi yani hapo kama ni mimi angejuta.. coz kwakweli ningemtafuta dunia nzima hii..! yani nimesha salimu amri halafu anaendelea kunipiga..!!! hahaaaaaa...!!!
 
Ndio nchi yetu ilivyobakia.hawa mapolisi wetu hawana elimu,wanaona kupiga marungu na kutunyanyasa ndio faragha.rushwa wanakula in the open daylight.I hate them.ipo siku kibao kitawageukia na siye wananchi kutawatwanga mambwa hao..
 
Hatuna polisi,tuna wahuni tu Tanzania.Ikinitokea mimi nitahakikisha nakula sahani moja na mmoja wao.Mimi jela yeye muhimbili.Ama ikiwezekana wote mimi na yeye AKHERA!
 
yap uvumilive sasa no zero, serikali inatakiwa na vyombo vyake vya dola inatakiwa kuwa mlinzi wa kwanza wa haki za binadam na usawa because kila mtu ana haki sawa ya kudai usawa pale aonapo usawa kutokuwepo au kuwapo kwa kundi flan la watu, tusifanye makosa 2015
 
Back
Top Bottom