Polisi wa kibongo wanapokutana na vimwana macho hugeuka kama fudi wa saa.

Status
Not open for further replies.

Spear

JF-Expert Member
Jun 21, 2008
507
28
Dada pole kwa ajali lakini Kwapa linahanikiza kwa kutiririka majasho

1.JPG
2.JPG
 
Mhhh!!
Uwiano si mzuri sana kati ya kichwa cha habari na picha pia haionyeshi mazingira ya ajali!!
 
Mhhh!!
Uwiano si mzuri sana kati ya kichwa cha habari na picha pia haionyeshi mazingira ya ajali!!

Binadamu tupo wa aina nyingi kuna wale ambao ni wazito wa kuelewa hata wakiona ujumbe wa picha unaeleza mana kamili kwao ni vigumu kuelewa ujumbe huo hilo linatokana na akili zao kusita kukuwa .
 
Nini cha ajabu hapo! Yako wapi macho ya fundi saa! We only see what we want to see! I see the Police officer questioning a woman involved in a car crush!!!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom