Polisi mmoja wa kikosi cha FFU ameuliwa wakati wengine kadhaa wamejeruhiwa vibaya leo na raia wenye hasira maeneo ya Tegeta Namanga. Pamoja na skari, kuna raia wawili pila waliouliwa na askari hao wa FFU huku wengine wengi wakiwa wameumizwa vibaya. Hii ilitokea kwenye purukushani iliyoanzhishwa na mmiliki wa kituo cha mafuta aliyeanza kuvunja makazi ya wananchi hao.
Yawezekana wengi wamepoteza maisha yao, ila kwa macho yangu nimemuona Askari mmoja kauliwa na Wananchi wawili ila walioumia ni wengi sana. Hali ilikuwa ni mbaya sijawahi kuona. Nimeona ile kwenye TV. Nilijua tu vitu kama vile vinatokea Afghanistan, Syria na Iraq siyo Tanzania. Mbaya zaidi rais mwenye kapita na kuacha mapambano yakiendelea
Mapambano kati ya polisi na raia yameendelea kwa muda mrefu hata baada ya rais kupita, ambako pia gari la rais na msafara mzima lilirushiwa mawe.....Inabidi polisi waseme ukweli kuhusiana na hili jambo.. hali bado tete kwani wananchi wana hasira na serikali kuruhusu mwekezaji huyu kujichukulia sheria mikononi mwake ya kuwahamisha na kuvunja makazi yao
Chanzo, nilikuwepo eneo la tukio
Wapi Dr slaa rudi nchini utulize hizi fujo, wewe ndo president wetu tunakuhitaji hapa
Unajua ifike wakati watanganyika tuache uoga wakijinga...hii ni nchi yetu, hakuna mpumbavu kuja kutunyanyasa kisa ni kibaraka wa mafisadi...Kitendo cha kuuwaua kwa WaTanzania wazawa watatu (mmoja akiwa ni askari wa FFU) pale Tegeta, je bado huyu 'Mwekezaji wa CCM' kwa jina la OILCOM bado anajiona yuko salama na vituo vyake vya mafuta nchini kweli huyu!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Muke ya Muzungu, asante, na asante pia kwa Muzungu kukupa taarifa kuhusu tukio hilo!. Kwenye purukushani, au ajali, taarifa za vifo hutolewa na ama polisi, ama hospitali ilikopokelewa miili hiyo!, kwa kuona tuu kwa macho, ni kudhania, unaweza dhani kafa, kumbe kazimia tuu!.Polisi mmoja wa kikosi cha FFU ameuliwa wakati wengine kadhaa wamejeruhiwa vibaya leo na raia wenye hasira maeneo ya Tegeta Namanga. Pamoja na skari, kuna raia wawili pila waliouliwa na askari hao wa FFU huku wengine wengi wakiwa wameumizwa vibaya. Hii ilitokea kwenye purukushani iliyoanzhishwa na mmiliki wa kituo cha mafuta aliyeanza kuvunja makazi ya wananchi hao.
Yawezekana wengi wamepoteza maisha yao, ila kwa macho yangu nimemuona Askari mmoja kauliwa na Wananchi wawili ila walioumia ni wengi sana. Hali ilikuwa ni mbaya sijawahi kuona. Nimeona ile kwenye TV. Nilijua tu vitu kama vile vinatokea Afghanistan, Syria na Iraq siyo Tanzania. Mbaya zaidi rais mwenye kapita na kuacha mapambano yakiendelea
Mapambano kati ya polisi na raia yameendelea kwa muda mrefu hata baada ya rais kupita, ambako pia gari la rais na msafara mzima lilirushiwa mawe.....Inabidi polisi waseme ukweli kuhusiana na hili jambo.. hali bado tete kwani wananchi wana hasira na serikali kuruhusu mwekezaji huyu kujichukulia sheria mikononi mwake ya kuwahamisha na kuvunja makazi yao
Chanzo, nilikuwepo eneo la tukio
Muke ya Muzungu, asante, na asante pia kwa Muzungu kukupa taarifa kuhusu tukio hilo!. Kwenye purukushani, au ajali, taarifa za vifo hutolewa na ama polisi, ama hospitali ilikopokelewa miili hiyo!, kwa kuona tuu kwa macho, ni kudhania, unaweza dhani kafa, kumbe kazimia tuu!.