Polisi wa FFU auliwa na Wananchi wenye hasira (Tegeta)

tulikuwa tunaelekea kubaya, sasa tumefika pabaya.

ipo siku tutaapewa amri ya kutokutembea.
 
polisi watatupiga risasi watatuua ila hatutaisha tutasonga mbele na hakika kwa kutumia jiwe tutawaponda vichwa vyao na tutashinda kwa sababu Mungu yu pamoja nasi sisi tulio wanyonge,ALUTA CONTINUE!!!!!
 
ffu mmoja kauwa na wananchi.
Wananci wawili wamepigwa na live ammunition/bullet na kufa papohapo.


Wafiwa poleni sana kwa msiba huu. Mwenyezi Mungi azilaze roho za marehemu mahali pema peponi~AMEN
 
Sasa uongozi DHAIFU unaanza kuleta madhala kwangu moja kwa moja, ina maana leo siendi kwenye disco langu hapo FAIRVIEW. Mambo gani wanatuharibia Tegeta yetu?
 
Hii sasa ni mbya sana kwa serikali, inawaua wananchi wake kwa kuwatetea wageni!!!!!!! sijawahi sikia nchi yoyote.
Wana JF nchi ilishauzwa hii. Tupo tu kwa huruma zao hao walionunua.
 
Kitendo cha kuuwaua kwa WaTanzania wazawa watatu (mmoja akiwa ni askari wa FFU) pale Tegeta, je bado huyu 'Mwekezaji wa CCM' kwa jina la OILCOM bado anajiona yuko salama na vituo vyake vya mafuta nchini kweli huyu!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Safi sana. Serikali imeshindwa kuwatetea wananchi na mali zao so kinachofuata ni sheria mkononi
 
We need few SMG on the street hili kutatua tatizo la uoenevu...huyo jamaa wa oilcom upstair zipo sasa hicho kituo akijenga raia si watapiga moto
 
Hapo ndo pa kuanzia jamani, hakuna kulala, wazenj wameshalianzisha tayari, na tegeta, wenzetu mara, kigoma, arusha, mbeya, mwanza mikoa ya wanaume mapambano yameanza saa ya ukombozi imekuja tayari damu imemwagika kuanzia kwa dr ulimboka hakuna kurudi nyuma kwani wataendelea kutuua hata kama tukiogopa...
 
Back
Top Bottom