Polisi wa Bongo!

Dilunga

JF-Expert Member
Apr 8, 2009
679
49
Watuhumiwa wanaachwa wakumbatiane...

Polisi anacheka nao...

Polisi mwingine anawaza nyumbani kwake...

Pingu kesha ziwahi afande mwingine zimekwisha kituoni....

Wazungu wanaogopwa kufungwa mashati...

Wazungu wenyewe wa Bulgaria, njaa tupu wamekuja kuiba ATM za kibongo...

07_09_px4hay.jpg


Police guard two Bulgarian nationals suspected of stealing money from automated tellers in Dar es Salaam, Nedko Stanchav (right) and Stela Nedelcheva. They appeared before the Kisutu Resident Magistrate’s Court but were later returned to the city’s Central Police Station after they rejected their assigned intepreter.​
 
Polisi bongo wakikusimamisha wewe jifanye hujui kiswahili. Hilo ndo dawa lao tu. Jifanye BA au mnaigeria, au mtu wa nchi nyingine yeyote...hawataweza kukuomba rushwa. Choka mbaya wote tu!
 
hao polisi hawajui kiingereza ni kucheka tu na yes yes..,.yes no no ..good na thank you.
 
Kwani kujua kiingereza ndo nini? hiyo si ni olugha tu!! kwani watu wote wa mataifa mengine wanafahamu kiingereza? Acheni hizo!
 
Kwani kujua kiingereza ndo nini? hiyo si ni olugha tu!! kwani watu wote wa mataifa mengine wanafahamu kiingereza? Acheni hizo!

Umeshinda kuelewa point...point nisemayo mimi ni jinsi wao walivyo hovyo katika utendaji wao wa kazi hasa kuonea wazawa. Experience yangu ipo kwa traffic police. Lakini kama umefanya uhalifu wa nguvu-eg: murder, of course kuongea kingereza hakitakusaidia. Lakini kwa makosa madogo madogo kama kutokuwa na fire extinguisher kwenye gari...wewe jibu tu kiingereza.
 
Lugha geni ni muhimu. Hapo akija rais wa China Rusia German, France au Saudia na hawaongei kiingereza ikulu yetu itafanyaje. Ukienda china wanaongea lugha zote kubwa duniani.na wageni hawahitaji kwenda na wakalimani wanawapata huko huko.sisi hapa kuponda tu.Tutajichanganya vipi na watu wa dunia nyingine? Acheni fikra potofu
 
Jamani ngoja nimtetee Polisi mnayedai anawachekea hao watuhumiwa, ukimwangalia kwa makini utagundua kabisa chuki ya kizalendo aliyonayo dhidi ya hao jamaa, tena utagundua kuwa hajafurahishwa kabisa na kitendo chao kukumbatiana ila tu hana namna inabidi atimize amri. Mwangalieni kwa makini mtagundua kitu. Pia huyo mwanadada siyo kuwa anafikiria nyumbani kwake bali kitendo cha hao watuhumiwa kukumbatiana tena mbele yake kimemchefua kiasi cha kuamua kuangalia pembeni ili asije akawarukia bure, yakawa mengine.
 
Dilunga,
The picture speaks a thousand words. Lakini Bluray kanifurahisha. He just took a page from yr book.
 
Donge tu.! Sasa wewe bana Dilunga ulitaka wawe wamepigwa 'tanganyika jeki' ndo ufurahi?
 
Back
Top Bottom