Zing
JF-Expert Member
- Jun 24, 2009
- 1,767
- 470
Wakuu kuna jambo linanitatiza.
Ni kuhusu muundo au mfumo na utaratibu wa nini kinatakiwa kufuatwa baada ya kashfa, wizi au rushwa kugundulika sehemu mbali mbali hasa kwenye idara na wizara serialini.
Binafsi naona CAG au tume inahusika pale ambapo wahusika wakuu ni vigogo watendaji wakuuu na wanasiasa wa ngazi za juu. Polisi wao watafanya uchunguzi kama inahusu waina sie ....... je hili Ni sawa.
Ni kuhusu muundo au mfumo na utaratibu wa nini kinatakiwa kufuatwa baada ya kashfa, wizi au rushwa kugundulika sehemu mbali mbali hasa kwenye idara na wizara serialini.
- Kuna matukio yakitokea Polisi moja kwa moja wanaingia kazini tena jamaa aliyekuwa anaongoza idara ya masuala haya anaitwa Kasala sijui kama bado anaendelea ..............
- Kuna matukio yakitokea tunasikia Serikali inaagiza CAG afanye uchunguzi .......
Binafsi naona CAG au tume inahusika pale ambapo wahusika wakuu ni vigogo watendaji wakuuu na wanasiasa wa ngazi za juu. Polisi wao watafanya uchunguzi kama inahusu waina sie ....... je hili Ni sawa.
- Kwa nini mpaka sasa hivi Polisi haijawawahoji hao walituma hio Pesa na kila jairo.? Je utaratibu huu ni sawa?
- Kwa nini Jukumu la ucngui apewe CAG na sio takukuru au Polisi?
- Je hakuna muingilinoa wa majukumu kati ya ofisi ya CAG na Polisi na Takukuru.?
- Ni kitu gani kinatakiwa kufanya tigger polisi wafanye uchunguzi? Ni mpaka waagizwe au kwa manufaa ya umma wanaweza kuamua kufuatilia na kuhoji mtu yeyote na jamb lolote ?