Polisi: Ukaguzi barabarani

measkron

JF-Expert Member
Apr 11, 2011
3,782
2,406
Wadau Leo nikiwa ndani ya bus kuelekea Dar es salaam, ndani ya bus kulikuwa na wazungu wapatao 8, ikiwa 6 walikuwa viti vya mbele na 2 walikuwa viti vya nyuma. Kufika maeneo ya Mombo Polisi walisimamisha gari na wakapanda ndani ya Gari mmoja akiwa na uniform na mwingine mwanadada amevalia nguo za kiraia. Wakasalimia abiria na mara aliyevaa nguo za kiraia moja kwa moja aliwafata abiria Wa kizungu na kuomba kuona hati zao za kusafiria, kulikuwa na wakenya 3, waganda 2 lakini kwa kuwa hawakuweza kujulikana kama ni raia Wa kigeni hawakuulizwa lolote. Askari aliyekuwa na uniform alikuwa akishika shika mifuko kwenye carrier..... Hivi kwa Ukaguzi huu wazungu tu ndio wanaoweza kuwa wahamiaji haramu?
 
na ndio utajua kwanini kunatakiwa vitambulisho vya uraia . hapo polisi walitakiwa waombe vitambulisho abiria wote ili kama kuna kufahamu ambao sio raia
 
Hili ndilo la muhimu mkuu
 
Wadau Leo nikiwa ndani ya bus kuelekea Dar es salaam, ndani ya bus kulikuwa na wazungu wapatao 8, ikiwa 6 walikuwa viti vya mbele na 2 walikuwa viti vya nyuma. Kufika maeneo ya Mombo Polisi walisimamisha gari na wakapanda ndani ya Gari mmoja akiwa na uniform na mwingine mwanadada amevalia nguo za kiraia. Wakasalimia abiria na mara aliyevaa nguo za kiraia moja kwa moja aliwafata abiria Wa kizungu na kuomba kuona hati zao za kusafiria, kulikuwa na wakenya 3, waganda 2 lakini kwa kuwa hawakuweza kujulikana kama ni raia Wa kigeni hawakuulizwa lolote. Askari aliyekuwa na uniform alikuwa akishika shika mifuko kwenye carrier..... Hivi kwa Ukaguzi huu wazungu tu ndio wanaoweza kuwa wahamiaji haramu?

Wazungu wanahonga madola na mapaundi na mayuro
 
maafisa uhamiaji kwani hawakuwepo kwa sababu wao ndio wanauwezo wa kuwatambua raia wa kigeni hata kama ni waafrikaa wenzetu
 
Kwa mtazamo wangu walifanya vizuri sana, maana hao weupe ukiwa kwao wanasumbua sana watu weusi
 
Wadau Leo nikiwa ndani ya bus kuelekea Dar es salaam, ndani ya bus kulikuwa na wazungu wapatao 8, ikiwa 6 walikuwa viti vya mbele na 2 walikuwa viti vya nyuma. Kufika maeneo ya Mombo Polisi walisimamisha gari na wakapanda ndani ya Gari mmoja akiwa na uniform na mwingine mwanadada amevalia nguo za kiraia. Wakasalimia abiria na mara aliyevaa nguo za kiraia moja kwa moja aliwafata abiria Wa kizungu na kuomba kuona hati zao za kusafiria, kulikuwa na wakenya 3, waganda 2 lakini kwa kuwa hawakuweza kujulikana kama ni raia Wa kigeni hawakuulizwa lolote. Askari aliyekuwa na uniform alikuwa akishika shika mifuko kwenye carrier..... Hivi kwa Ukaguzi huu wazungu tu ndio wanaoweza kuwa wahamiaji haramu?

Ndugu, we ulitegemea nini?
wakali wao ndio kama akina Kova, msangi na andengenye. Yaani hao ndio "vichwa" wanaopewa madaraka. Sasa hao wa chini yake unategemea akili zao zikoje? Muulize Mwaimu wa RITA...
 
Back
Top Bottom