Polisi TZ na Tuhuma ya Picha Chafu za Ngono

MaxShimba

JF-Expert Member
Apr 11, 2008
35,772
4,054
[h=1][/h]
Nilikuwa busy napekua katika mitandao kadhaa...Kusema kweli nilipatwa na mshangao mkubwa baada ya kuinasa picha ya afande live ikizagaa katika mitandao ya udaku......

Kwa kweli sina lolote la kusema na sijui alizipiga lini na kwa lengo gani.....Naamini gazeti la AMANI lina data kamili
 
kwajinsi muhusika alivyocalm na poz la picha bila shaka alikuwa na mpenziwe wakitaka kupiga game na alikubal kupigwa picha wilingly coz anamwamin mpenzie, problem ni huyo kahab* wa kiume kusambaza picha za mwenzake
 
kila mtu anafanya hayo cha ajabu ni nini? Mwacheni mama wa watu ajilie starehe zake.
 
Ambaye hajawahi kukaa uchi chumbani kwake na AMPIGE NA JIWE! (Amuhukumu)
 
Hiyo siyo picha chafu ya ngono. Hizo picha nadhani wengi wanapiga, shida ni pale zinapoingia hadharani. Sioni shida hapo, zaidi ya kuingilia privacy za watu.
 
Hiyo ni picha ya kawaida akiwa chumbani kwake;alieivujisha ndio ashitakiwe,kama mtu wake wa karibu akaeleze kwenye vyombo vya sheria kwa nini ametoa picha za mwenzi wake bila ridhaa!!au aliempiga picha nae aulizwe kwa mkono wa sheria!
 
Ambaye hajawahi kukaa uchi chumbani kwake na AMPIGE NA JIWE! (Amuhukumu)

Mkuu niko na wewe hapo.. Kuna raia wako so fast katika kuwalaumu na kuwaita wengine malaya na wahuni.. wakati wao wanafanania hivyo.. Hizo pics hakukusudia zifike hapo nadhani hao wenye gazeti waulizwe walizipata wapi.. Na kwanini waziweke kwenye front page.. Hii tabia ya kuingiza mapesa kwa kuwadhalilisha raia wenzio ni sawa kabisa na ufisadi..
 
Peleka umbea wako Fb huko hapo kuna nini kichafu ndo kwanza watu wamekipenda
 
Shigongos blackmailing business. Huyo dada amshitaki aliyempiga na kusambaza. Cause it may happen to anyone. Hata wewe unaweza pigwa unaoga then kutakiwa dau
 
Huyu dada akiweza akamloge huyo aliyeisambaza hii picha kwani kumpiga picha mpenzi wako akiwa uchi ni jambo la kawaida kabisa tena kama unasafiri inatia hamasa kuondoka na picha zake njiani unazitazama.Ila huyu bwana wa huyo polisi ni limbukeni wa mapenzi dada ajitahidi kumfanyizia.
 
Back
Top Bottom