Polisi: Tuko tayari kumlinda Ulimboka!

Fikra uliyo nayo ni potofu sana, kama kungekuwa hakuna usalama nchi hii basi hata wewe usingekuwa na la kuongea humu, usalama sasa hivi ni 100% isipokuwa kwa wale wanaotemper tnao ndo wanaweza kujikuta pabaya, lkn kwa raia mwema ni fuull kujiachia, kwa hilo umechemsha labda useme lingine.
We kama si polisi basi ni moja yao kina Zoko wanaojiita usalama wa majambazi. Nasema hivyo kwa sababu hiyo jamii ni sumbufu sana kwa raia pengine hata we kama si mmoja wao ushasumbuliwa siku moja.
 
Hata mimi naungana na Mamaisara, mbona ilisemekana kuwa mtuhumiwa namba moja ni idara ya usalama wa Taifa? Kesho tutaambiwa ni mghambo na mwishowe tutaambiwa ni sungusungu ndiyo walihusika, "NI HABARI ZA UCHUNGUZI ZA SAID KUBENEA?. teh teh teh, mimi napita tu jamani.

Kwa kutumia elimu ndogo ya civics utajua kuwa serikali, polisi, usalama wa taifa, mgambo ni kitu kilekile, sijui hoja yako ni ipi ndg thatha? Kwamba aliteswa na usalama wa taifa na sio polisi!!! au?
 
Ni ushauri wa busa walioutowa Polisi ukizingatia wanavifaa kazi vya kileo vinavyo waruhusu kukabiliana na hali yoyete ile kwa wakati wowote ule itakapo tokea hasa ukizingatia yaliyomtokea Dr Ulimboka nafikiri anahitaji ulizi wa Polisi zaidi
 
Binafsi sina imani na Jeshi la Polisi. Ulimboka chukua tahadhali maana isije ikawa mbinu ya kukuangamiza kabisa. "Liwalo na Liwe"
 
ngoja wamlinde hamna shida. ila tu mjue kuna watu dhamira zimekufa, hawana aibu, hawamwogopi Mungu, hawashangazwi na lolote, kwa hiyo mawili; wamlinde kweli kufuta mtizamo uliokuwepo au wamalize kabisa shughuli na wasione ajabu
 
lahaula ulimboka usikubali kwanini walituletea ushahidi wa uongo eti aliyekupiga alienda kuungama kwa mzee wa upako bwana khaaa usikubali hata kidogo wanatafuta njia nyingine ya kukutilia sumu ili wakumalizie kakweli
 
Nimeikumba hii ktk harakati za kutaka kuona maoni ya wale wanaojiita watetezi wa haki. Sioni hata mmoja aliyeleta hata wazo la michango ya Ulimboka. Tuliwaanchia Madaktari na harakati zao. Mtu huyu alipelekwa SA ambako tiba ni bora kuliko Nairobi na hawakuhitaji michango. Kuna social capital inayotokana na tabia, je, hii tabia ya Lissu ni social capital kuliko daktari Ulimboka?

Tunahitaji thinking ya ziada.
 
Wewe kwenu hili taifa ni liability au asset umelifanyia nini hili taifa hata utakapo pata madhara ushawishi watu wakuchangie achana na rambirambi utakayo tolewa
 
Wewe kwenu hili taifa ni liability au asset umelifanyia nini hili taifa hata utakapo pata madhara ushawishi watu wakuchangie achana na rambirambi utakayo tolewa
Inategemea na aina ya watu wanaochanga ni akina nani. Hata vijana wa kindergarten wanachangiana. Ulivyoandika tu, inaonyesha kwamba mchango wako unaweza usinisaidie kabisa!!! Au unaweza ukanifanya nipoteze heshima.
UMesoma hadi darasa gani?
 
Back
Top Bottom