Polisi tegeni cctv camera mabwepande

Head teacher

JF-Expert Member
Mar 10, 2012
1,796
411
Kutokana na migomo ya walimu, na baadae wafanyakazi wote wa serikali na binafsi kupinga sheria kandamizi ya mifuko ya jamii, ni wazi kwamba msitu wa mabwepande utakuwa na ugeni kila iitwapo leo. Natoa wito kwa serikali kufunga cctv camera kubaini watekaji wa viongozi wa maandamano na migomo.
 
ha ha ha !! mbona umetoa mpya? Yaani serikali ijiwekee yenyewe camera ili ionekane namna police wanavoteka watu na kuwatesa? mm nilkuwa na mpango wa kuichimbia camera huko kisiri ili kuwachunguza polisi watekaji ila umeshawatonya itabidi nikaitoe!!
 
TEH, TEH, TEH, Nilipata taarifa za kiintelejensia, kuwa kuna mikamera imetegwa......!
 
Najaribu kuongea na Google,
ikiwezekana kwa mwezi mmoja,
waelekeze kamera zao zote kwenye,
coordinates za Mabwepande,
na kuweka high resolution.
 
Usitegemee waweke vitu ambavyo vitawasumbua mbeleni...Hii ni kawaida kwa kufanyika haswa pale corruption inapokuwa imeota mizizi...Hawawezi kujiweka uchi mchana kweupe..Labda kama pia control room iwe pale central na waweke ukiritimba wa hali ya juu kuweza kupata footage zake..
 
Kutokana na migomo ya walimu, na baadae wafanyakazi wote wa serikali na binafsi kupinga sheria kandamizi ya mifuko ya jamii, ni wazi kwamba msitu wa mabwepande utakuwa na ugeni kila iitwapo leo. Natoa wito kwa serikali kufunga cctv camera kubaini watekaji wa viongozi wa maandamano na migomo.

Hawata watambua,wataona nguo za kininja tu.
 
Kutokana na migomo ya walimu, na baadae wafanyakazi wote wa serikali na binafsi kupinga sheria kandamizi ya mifuko ya jamii, ni wazi kwamba msitu wa mabwepande utakuwa na ugeni kila iitwapo leo. Natoa wito kwa serikali kufunga cctv camera kubaini watekaji wa viongozi wa maandamano na migomo.
Hii kali, yaani wajitegeshee kamera wao wenyewe?!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom