Polisi na ukatili wa kutisha Igunga na Dar

Ni kweli polisi wetu wengi hawana reasoning capacity,hii pengine inachangiwa na upeo finyu ama mapokeo ya kazi zao.Njia ya haraka waliyojifunza ni ambush zaidi ya mbinu nyingine ya kumkamata mtuhumiwa pasipo kumzuru.Hii dhana ya ''kutii sheria pasipo shuruti'' inapaswa ifafanuliwe vizuri na wahusika wa pande zote yaani polisi na raia waitekeleze.

Hili la Mzee/wazee wastaafu EAC halikutisha sana kwani nimeona Mzee alivyokuwa shapu kwa kuchenga na kumyumbisha askari hatimae kutoweka.Issue ya mama aliyegongwa ngongwa na jinsi walivyomshika makalio na kumrusha ndani hapa ndipo pa kujiuliza.Hivi hakuna mbinu nyingine ya kudeal na hawa mnaosema wanasababisha uvunjifu wa amani hasa akina mama.

Ushauri; Pamoja na madhaifu ya polisi,tukiwa raia tunapaswa kujiepusha nao hawa wapiganaji.Tutii sheria na kuepuka ubishi usio na maana hasa unapotiwa nguvuni vinginevyo watatuua hawa maake kwao sifa ni jinsi gani wamemdhibiti wanae muita ''muarifu''.
 
Wana jf nimeangalia taarifa ya habari ITV kuna mwanamke amebebwa kwa nguvu na kutupwa kama mzigo kwenye gari la police.
Najiuliza BAKWATA wako wapi? mbona hawatoi tamko au kwa sababu si mkuu wa wilaya?au police wanayo hiyo haki?January makamba yuko wapi mbona alalamiki kwa watetezi wa haki za binadamu? au wametoa? natafuta picha ni upload muone .
 
Mwaka huu wanafki wote wataumbuka tena kweupee. Nasubili wale watoa matamko kwenye hili wao wanalionaje? Uvumilivu una kikomo, tumeshachoka kuwavumilia hawa mbwa kabisa kilichobaki ni kuusambaza mtandao wa wapiga nondo tu.
 
Wana jf nimeangalia taarifa ya habari ITV kuna mwanamke amebebwa kwa nguvu na kutupwa kama mzigo kwenye gari la police.
Najiuliza BAKWATA wako wapi? mbona hawatoi tamko au kwa sababu si mkuu wa wilaya?au police wanayo hiyo haki?January makamba yuko wapi mbona alalamiki kwa watetezi wa haki za binadamu? au wametoa? natafuta picha ni upload muone .

Hebu fanya hivyo tuone ndugu yangu,watu wana hila sana Chadema ndugu yangu
 
BAKWATA inajihusisha na ishu za uchaguzi tu maana ni moja wapo ya taasisi za CCM kama UVCCM, Jumuiya ya Wazazi, UWT n.k...anyway ..BAKWATA is a big joke to Tanzanian Muslims... so sad!
 
Nimeliona tukio hilo kupitia taarifa ya habari ITV,TBC1, Channel 10 na pia Mlimani TV. Ni tukio la udhalilishaji kwa mwanamke. Kama sitamsikia yule Mbunge wa CCM aliyejitokeza mbele ya waandishi wa habari na kuiomba TAWLA ichukue hatua juu ya viongozi wa Chadema kufuatia kumkamata mhalifu (Mkuu wa Wilaya) akitoa tamko katika tukio nililoliona,nitaamini na kusadiki kuwa kweli wengi wa wabunge wa CCM wanafikiri kwa kutumia masaburi
 
Wana jf nimeangalia taarifa ya habari ITV kuna mwanamke amebebwa kwa nguvu na kutupwa kama mzigo kwenye gari la police.
Najiuliza BAKWATA wako wapi? mbona hawatoi tamko au kwa sababu si mkuu wa wilaya?au police wanayo hiyo haki?January makamba yuko wapi mbona alalamiki kwa watetezi wa haki za binadamu? au wametoa? natafuta picha ni upload muone .
kwani alijitanda kakitambaa?
 
Ujinga wa CCM na serikali yake ndio uwa unaonekana hapo...huu ni upuuzi kabisa.Na ndio maana wanaharakati wanawake waligundua ujinga huu wakakaa kimya..maana walijua kuwa ipo siku yatawageukia...lakini kwasababu ya upunguani wa CCM na watu wake wakaropokaropoka bila kufikiri...
 
Mie nasema hivi: Hapa Polisi na Serikali ya CCM, someni sahihi yangu.
 
Kamwe hawatatoa maana hata OCD wa Maswa alodhalilishwa na mbunge aliyeshindwa kwa kupigwa ngwara hakuna mbunge au kiongozi wa bakwata aliekemea tukio hili nao hawatakemea maana halihusiani na kura
 
Mi nimesikitika sana!!
Mama hata hakuwa threat kwao wala kwa yeyote,wamemtwanga vilungu na kumrusha kwenye gari kama chakula cha kuku. Wapi mama Kilango?wapi bakwata?na wale wajiitao wafanya siasa za ustaarabu?
 
Bora utuwekee hiyo picha. Wengine tuna aleji na hizi tv station.
 
Back
Top Bottom