Polisi na UDSM

Speaker

JF-Expert Member
Aug 12, 2010
6,324
2,238
Hivi ndo tuseme Dar hiii hakuna mapori ya kufundishia
polisi kutumia siraha?
Naamini kabisa kwamba,hadi unafikia kuvaa magwanda ya polisi
na kubeba siraha unakuwa unajua jinsi ya kuitumia!

Kweli kabisa,nasoma room namba 101 afu room namba 102 kuna
polisi wanafundishwa kushika bastola mnataka tusomeje?
Au kwa kua hakuna watoto wa raisi na mawaziri hapa?

Vipi kama kuna risasi bahati mbaya mkaanza kupiga makelele yenu hapa?
Hatuja zoea kusoma na kuona magwanda kila mahari,...
hamchelewi kupiga risasi hewani makusudi afu mkasema
mlisahau kutoa risasi zote!

Sio fair,msipanikishe watu wakiwa wanasoma bana,..
kuna mapori kibao,..vyuo vya mafunzo ya polisi vimejaa!

Hamkawii kutunyakua vi-laptop vyetu kwa kututishia mibastola yenu
 
mkuu Speaker sijakupata vizuri unamaanisha kua mafunzo ya polisi/kijeshi hapo UDSM?
 
Ina maana depo imehamishiwa chuoni?...hiyo ni bab kubwa
 
mkuu Speaker sijakupata vizuri unamaanisha kua mafunzo ya polisi/kijeshi hapo UDSM?

Sijakosea Saint Ivuga,..
jana walikua wamejaa Nkurumah,..
na last week walikua wanatumia darasa moja huku coet,..

Wengi tulijua kawaida,ila leo nilipo ona mabunduki na mabastola
tena mbaya zaidi ni kama wanaelekezwa kushika duh,...

They are about to create a panic,watu watashindwa kusoma hapa
 
maeneo yameisha hapa tz labda, na kama hali ndio hiyo aanawea kupikwa mtu risasi kwa bahati mbaya, mabomu ambayo yanakaa kwenye ghala yaliachwa hadi yakajilipukia yenyewe sasa watashindwaje kupiga mtu risasi kwa bahati mabya na badae wakaja na kuomba msamaha tu mambo yakaisha?
Waziri wa mambo ya ndani is not existing by the way
 
kwani UDSM hakuna utawala? au mkuu wenu anaona ni sifa watu wenye silaha kuja nazo kupiga misele hapo UDSM kwenye eneo la chuo , eneo ambalo linatakiwa liwe tulivu
 
Baada ya serikali kutoridhishwa na mwenendo wa wanafunzi wa UDSM hasa kwa haka kautamaduni kakuwazomea viongozi wa CCM wanapokuwa kwenye mijadala hapo chuoni,serikali imeamua kukigeuza chuo hicho kuwa chuo cha mafunzo ya jeshi la polisi.
Nitawapatia SOURCE badae.
 
Hivi ndo tuseme Dar hiii hakuna mapori ya kufundishia
polisi kutumia siraha?
Naamini kabisa kwamba,hadi unafikia kuvaa magwanda ya polisi
na kubeba siraha unakuwa unajua jinsi ya kuitumia!

Kweli kabisa,nasoma room namba 101 afu room namba 102 kuna
polisi wanafundishwa kushika bastola mnataka tusomeje?
Au kwa kua hakuna watoto wa raisi na mawaziri hapa?

Vipi kama kuna risasi bahati mbaya mkaanza kupiga makelele yenu hapa?
Hatuja zoea kusoma na kuona magwanda kila mahari,...
hamchelewi kupiga risasi hewani makusudi afu mkasema
mlisahau kutoa risasi zote!

Sio fair,msipanikishe watu wakiwa wanasoma bana,..
kuna mapori kibao,..vyuo vya mafunzo ya polisi vimejaa!

Hamkawii kutunyakua vi-laptop vyetu kwa kututishia mibastola yenu

hiko ni chuo kaka,may be jamaa wanapata digrii za kupiga risasi.just wait unaweza kuwaona wakigraduate novemba hapohapo.
 
Hivi ndo tuseme Dar hiii hakuna mapori ya kufundishia
polisi kutumia siraha?
Naamini kabisa kwamba,hadi unafikia kuvaa magwanda ya polisi
na kubeba siraha unakuwa unajua jinsi ya kuitumia!

Kweli kabisa,nasoma room namba 101 afu room namba 102 kuna
polisi wanafundishwa kushika bastola mnataka tusomeje?
Au kwa kua hakuna watoto wa raisi na mawaziri hapa?

Vipi kama kuna risasi bahati mbaya mkaanza kupiga makelele yenu hapa?
Hatuja zoea kusoma na kuona magwanda kila mahari,...
hamchelewi kupiga risasi hewani makusudi afu mkasema
mlisahau kutoa risasi zote!

Sio fair,msipanikishe watu wakiwa wanasoma bana,..
kuna mapori kibao,..vyuo vya mafunzo ya polisi vimejaa!

Hamkawii kutunyakua vi-laptop vyetu kwa kututishia mibastola yenu

Labda serikali ya chama cha magamba wamegues kwamba UDSM ni chuo cha wachagga! hawakawii kuzilipua kama Arusha vile!
 
offcourse Chagza bila shaka ni wengi pale UDSM ukilinganisha-
so chagaz=chadema(zitto,mnyika,slaa,safari,mbowe etc) all these guys are chagaz acoording to chama cha magamba
 
Mmmmmmhhhhhhh
angalieni vijana
mkandala asijewafanyi?
kwa sheria zipi aruhusu jambo hilo?
kazi ipo tz
 
Back
Top Bottom