polisi na mwizi makaburini

Washawasha

JF-Expert Member
Aug 7, 2006
16,638
13,052
Polisi alikuwa anamkimbiza mwizi makaburini,mwizi alipochoka akaamua kuvua nguo na kukaa juu ya kaburi,polisi alipofika akamkuta mwizi uchi juu ya kaburi ikabidi amuulize.
Polisi:samahani hujamuona mwizi hapa?
Mwizi:mie cjui maana nimezikwa jana,labda uliza kaburi lile pale lina mwezi sasa atakua anamjua
 
Mpaka kufikia hatua ya kumuuliza aliye uchi, huyu ni mjeda wa kwel
 
Duh ningekimbia halafu nahisi yule mwizi angetishia kama ananikimbiza kidogo tu ingekuwa balaa zaidi
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom