Ukana Shilungo
JF-Expert Member
- Apr 17, 2012
- 3,041
- 2,422
.....
Hakuna maandamano yasiyo fuata utaratibu, zoezi la sensa ni la muhimu zaidi na la kitaifa kuzidi maandamano ya CDM. Polisi msiogope mtu kwenye kutekeleza sheria hata awe nani, waki beep nyie pigeni km jana morogoro.
Kwani sasa yaonyesha watu wanataka madaraka na umaarufu kwa nguvu. Msiogope mtu, tekelezeni sheria na mdhibiti hali kwa njia yoyote. Hii ni nchi ya utawala wa sheria , si nchi yakuongozwa kihuni huni.
[/QUOTE]
Hongera kwa kuchagua ujinga,serikali hiyoyo,sehemu nyingine wameshindwa watu kuhesabiwa kisa madodoso,na hivyo kusubiri,vifaa vingine vinavyowatambulisha wao watu wa sensa havipo,sensa na mikutano ya hadhara ya chama kilchopo kikatiba kila kimoja kina umuhimu wake,hivyo basi kwanini wahujumu mkutano wa chadema kwa kisingizio cha sensa ambayo serikali hiyo hiyo inahujumu kwa kutotimiza vitendea kazi.usituletee utumbo kama huo.