Polisi: Marehemu Ally Zona aligongwa na kitu kizito na sio Risasi

Wameua wao, wamechunguza wao na wanatoa ripoti wao! Tafakari!

Labda wanasheria wanisaidie,baada ya maiti kufanyiwa post mortem(PM) independent entity anaweza kuomba kufanya PM independently ili kujiridhisha kunapokuwa na utata kama ulojitokeza?
 
Kamati aliyounda Dr Nchimbi ndio imetoa hiyo report? Na kama report ya tume maalum haijatoka, haki itatendeka kweli maana polisi wameshaonesha mwelekeo wao?

Kuuwa ni kosa kubwa, lakini kujaribu kupindisha ukweli ni sawa na kuuwa kwa mara ya pili - unforgivable.
 
niwazi kabisa vijana wa chadema ndo walio muua kijana ally muislam mwenzetu.hii ni mara ya pili kwa muislam kufa ktk maandamano ya cdm. Cdm imehusika iwaeleze wananchi
Propaganda za aina hii walifanya ujerumani mashariki,Poland,China na urusi na bado wakaanguka mwambie Amri jeshi mkuu na IGP vitendo wanavyovifanya vinawashushia hadhi mno na kudharaulika mbele ya uso wa wananchi aibuu kwa jeshi zima la polisi
 
itakua CHADEMA ndio wamemuua ili ku propagate mambo na kujitangaza zaid ili ionekane kua eti na waislam pia wako tayari kufa kwa ajili ya chadem na kanisa na wachaga.

Inasikitisha kuona chadema wako tayari kuwaua watanzania kwa sababu kama hizi. Nawaonya waislam wasijaribu kukaribia mikutano ya chadema.

Chadema wanapenda sana kutumia staili ya mauaji kwa mfano chachawangwe, mgombea mwenza wa urais, wakala wa chadema igunga, na huyo wa morogoro.
Old melody you cant convince us kiufupi hatuna jeshi la polisi wamepoteza uhalali wa kuaminika ndio maana wananchi wanawapuuza kwa kiasi cha hali ya juu no wonder wanaopelekwa polisi ni division zero
 
itakua CHADEMA ndio wamemuua ili ku propagate mambo na kujitangaza zaid ili ionekane kua eti na waislam pia wako tayari kufa kwa ajili ya chadem na kanisa na wachaga.

Inasikitisha kuona chadema wako tayari kuwaua watanzania kwa sababu kama hizi. Nawaonya waislam wasijaribu kukaribia mikutano ya chadema.

Chadema wanapenda sana kutumia staili ya mauaji kwa mfano chachawangwe, mgombea mwenza wa urais, wakala wa chadema igunga, na huyo wa morogoro.
nna wasiwasi na uwezo wako wa kufikiri.....
 
....hii ni kama ile staili ya zamani ya kutongoza kwa uongo wa wazi kabisa...eti "sili, silali nakuota wewe" ...ukimcheki ana kitambi na halali lakini anaota. Ndo haya ya polisi kuhisi tupo ile miaka ya mkuu wa nchi kuoteshwa kuwa nchi flani kuna vita kumbe kachungulia kwenye kaluninga!

Kabla ya kuzungumza uongo, waujaribu kwanza kama utakubalika japo hata kwa muda...
 
Yaani hapa ni usanii tupu wamefanya fasta kuchukua mwili wa marehemu na kwenda kuuzika ili watoe matamko kama haya, Naomba ki Ndugu wa marehemu pamoja na CDM wajiunge kwa pamoja waombe kibali mwili ufukuliwe ufanyiwe uchunguzi upya ili aibu iwapate hawa nyani watu, inatia uchungu sana kufanyia mzaha uhai wa binadamu.
 
policcm kazini, mwizi chui, hakimu chui, mahakama gani hiyo? Mwisho wa uongo unakuja na Nchimbi ameamua kujiingiza kwenye taka za Mwema na shemejiye, subirini mtaona...wanaamini hawawezi toka madarakani milele!
 
Kitu kizito siajwaelewa!! Yale yale ya Ulimboka na Mkenya yajirudia tena. Ila Shilogela ametokea Dar. Kova atakuwa ndio Mwalimu wake
DSCF2188.JPG
Hilo tobo linaweza kuwa la kitu gani jamani!!!!??? Polisi acheni kufanya watu wajinga
 
Back
Top Bottom