Polisi kweli noma, majambazi ya watalii walikamatwa ndani ya 24 hrs ila wa Dr. Olimboka ndoto!

Return Of Undertaker

JF-Expert Member
Jun 12, 2012
4,572
26,868
Hadi hapa lazima kama mwananchi wa kawaida lazima nishangae na kuondoa imani na jeshi la polisi inakuwaje wauwaji wa watalii serengeti wakamatwe mdani ya 24 hrs lakini kwa Dr. Olimboka Mtanzania mwenzangu mpaka leo imekuwa ndoto!
 
Sasa wamkamate nani, wakati washukiwa n.1 wa kusudio la mauaji ni wao na usalama wa Taifa?
Watajikamata?
Basi tu ni maigizo yasiyopendeza, sasa utaona hii Ulimboka wataliacha kwanza na watakomalia ya Dr. Slaa na Mnyika, na watahamishia nguvu zote na hasira zote huko. Subiri uone Mkuu
 
Unataka wajikamate wenyewe
 
Washenzi sana
 
Hata yale majangili yaliyoua faru wa JK walishakamatwa lakini kigugumizi kipo huko kwa Ulimboka tuuuuuu.
 
Hadi hapa lazima kama mwananchi wa kawaida lazima nishangae na kuondoa imani na jeshi la polisi inakuwaje wauwaji wa watalii serengeti wakamatwe mdani ya 24 hrs lakini kwa Dr. Olimboka Mtanzania mwenzangu mpaka leo imekuwa ndoto!

Hivi game hulijui? hao wamekamatwa ni wabambikiwa ili watu waone wamefanya kazi. watuhumiwa wako huru wabambikiwa wako kichaponi
 
Back
Top Bottom