Polisi kuwatawanya wamachinga kwa nguvu Arusha Kesho? Wataua tena?

Serikali imechoka, iondoke tu. Wameshindwa kwenda na wakati. Lile eneo ni la serikali, wahuni akiwapo Meya kipindi hicho wakauza hilo eneo kwa mtu binafsi. Leo wamachinga hawana pa kufanyia biashara je waende wapi?
 
Serikali imechoka, iondoke tu. Wameshindwa kwenda na wakati. Lile eneo ni la serikali, wahuni akiwapo Meya kipindi hicho wakauza hilo eneo kwa mtu binafsi. Leo wamachinga hawana pa kufanyia biashara je waende wapi?

RC na Halmashauri wamemuuzia mtu binafsi Plot #10 kata ya Themi Kambarage yenye chanzo cha maji kinacho tumiwa na vijiji 5.

Kila nguvu inatumika kumilinda jamaa ajenge kinyume cha sheria ya mazingira. CCM wenyewe hawaelewani; wananchi walishaondolewa kulinda chanzo cha maji lakini ndiyo hivyo jamaa anajenga kwa vibali vya manispaa. Tafakari chukua hatua
 
Sioni namna huyo mkuu wa mkoa atakavyo endesha ubabe hapo Arusha na muona kila siku anazidi kuwa mweusi tii kwa roho yake ya kishetani kutaka kulinda maslahi ya wakubwa tutaona mwisho wake
 
Muda mfupi ujao watanzania tutaingia kwenye simanzi kufuatia amri iliyo tolewa kwa jeshi la polisi kutumia nguvu kwa kadri itakavyo wezekana kuwatoa wamachinga walio jigawia maeneo ya biashara katika eneo ambalo lipo Kilombero linalo daiwa kuuzwa kwa mtu binafsi.

Katika juhudi za kutafuta taarifa nimefanikiwa kuongea na jamaa mmoja kutoka jikoni akanihakikishia kuwa muda wowote FFU kutoka Babati, Karatu na Moshi watawasili kutekeleza amri.

Aidha inasemekana Mkuu wa mkoa amejiandaa vyema na mkuu wa polisi kwa kuiua Chadema kwakile wanacho dhani kuwa Chama hicho ndicho kinachowapa jeuri wa machinga.

Ikumbukwe mzozo huu unatokana na sakata linaloendelea Arusha kwa machinga kutaka maeneo ya biashara.

MUNGU IBARIKI TANZANIA

Wamachinga wa Arusha wanaombwa kupata ushauri kutoka kwa wamachinga wa Mbeya walioishikisha selikali ya mkoa adabu mpaka leo hii selikali ya mkoa na wamachinga hao wanaheshimiana,
 
tunaomba update kutoka sehemu ya tukio na ninaomba wamamchinga jiandaeni maana polisi wanatumiwa kabla ya kufuata haki
 
Kwa taharifa nilizo zipata jioni hiii toka kwa ffu tunaofanya nao mazoezi walinipasha kuwa kesho au keshokutwa watavamia eneo hilo kuwafukuza wamachinga, wameshapewa taarifa wajiandae kwa kazi hiyo walikuwa wanansubiri mkutano uishe.

Inapokuwa hakuna tofauti kati ya Maisha na Kifo, yaani pale watu wanapoishi wakiwa wafu kwa kukosa haki zao za msingi za kuishi ni bora kufa tukipambana!!! Kwa maana hata ukiogopa utakufa tu!! kama huna shughuli inayokuingizia kiapato kwa maisha haya ya mafisadi utakula nini, utatibiwa wapi, utalala wapi, utavaa nini. Kwa nini tufanywe watumwa kwa weusi wenzetu wanaotuibia kila uchao?????? Hawa polisi siku hizi wana mtindo wa kusafirisha polisi toka mbali ili waje kuua ni kwa gharama za nani? kweli pesa hizo zisingetosha kufanyia kazi nyingine ya maendeleo? Kweli ni gharama kubwa kihudumia na kuilinda serikali isiyo ya watu. Aluta continua
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom