Polisi kuwaachia Wapemba

Jamani hao wazeee walijua wanachokifanya lakini???maana ile ni kisiwa kilichomo ndani ya jamhuri halali kabisa ambayo yatambuliwa hata Un ....sasa walichokitaka wao mi nakiona kama ni kosa ingawa sio uhaini.....moja kwa moja

Kijana unachekesha sana na unanifanya nikuone ndio walewale!
Kumbuka madai ya hawa wazee ni ya msingi wao wanabaguliwa hawashirikishwi katika serikali ya mapinduzi zanzibar wala kwenye serikali ya muungano! Wao ni sehemu ya Muungano na sehemu ya zanzibar. Tangu Mapinduzi ya Zanzibar hakuna Rais alyetoka Pemba sasa wewe hizo SKILLS zako unashindwa kujua kuwa hawa wazee wanamadai ya msingi? Kudai haki ni kosa? Kumbuka mkate tu hutafutwa kwahiyo haki haiji yenyewe inatafutwa ikiwezekana hata kwa ncha ya upanga!

SKILLS wewe na Prof Issa Shivji nani ni mtaalamu wa mambo ya sheria? Sasa mbona Prof Shivji amenukuliwa kwenye gazeti la mwananchi jana kuwa wale wazee wa watu hawana hatia yoyote na madai yao ni ya msingi?

SKILLS wewe unasema wamekosa! Prof Shivji anasema hawana kosa! Jaribu jingine usitulishe pumba mzee SKILLZ
 
Lets face it, najua kuna watu hawawapendi hawa watu lakini kitendo cha kusema kuwa wapemba 10,000 wako tayari kujipeleka vituo vya polisi naona hii imehit home. Hii ingekuwa tamu sana kuona jinsi serikali ingeweza kusave face

serikali ya Chama Cha Mafisadi imebck down baada ya mkwara huu...je tunakubali kuwa zama hizi za txt msgs,internet na mengineyo CCM hawawezi kufanya unyama bila kuwa exposed dunia nzima

kwa hili nawapa hongera ndugu zangu waKipemba

Dawa ya Pemba ni ndogo sana, serikali ifanye kama serikali ya Uk ilivyofanya kule Northern Ireland lakini akili hawa watawala wanayo?
 
GT unaweza kunijibu swali langu hili, au mtu yoyote mwenye jibu anaweza kulimwaga hapa.. Imekuwaje serikali iliacta haraka haraka sana kuwashika hawa alafu imewaachia baada ya Muungwana kupata small talk na waungwana wa nchi za magharibi?
 
Majibu yako hapa mzee

BERNARD MEMBE na ambitions zake za urais----->AFRICOM------->NICHOLAS HOFFMAN------->MANOWARI YA WAAMERIKA YA USS ASHLAND kule PEMBA mwezi uliopita----------->US NAVY SOUTH EAST AFRICA TASK FORCE----SAFARI ZISIZOKWISHA ZA MAOFISA WA UBALOZI WA USA PEMBA kila kukicha

wenye akili hapa hawatoambiwa ona

unakumbuka hawa waamerika walifanya nini pale kwenye ardhi ya TISS St Peters wakati balozi alikwa mchungaji Stith?

Ndio maana kule kwenye thread ya wapemba waanza kushikwa....niliandika hawa wapemba wamechagua wakati mbaya kuliko wowote kupeleka hii barua yao....alafu wahandishi wetu wa nyumbani vitu kama hivi hawahoji ila tunavisikilizia kwa watu wa nje.
 
Mzee mwanakijiji!!
Wapemba wanatamani warudi ktk utawala wa kiarabu kuliko kuongozwa na serikali ya sasa.
Mutu mwene akili timamu unaweza tamani kurudi ktk hali ya ukoloni?
Ni hatari ngapi ziliwakuta vongozi wetu ktk harakati za kumwondoa mwarabu na usheenzi wao zenj?leo hii mkombolewa anatamani kurudi alikotolewa!!!!
Kutaka kujitenga kwa wapemba si akili zao tuu,ni nguvu toka nje inayotaka kurudisha utawala wake,na hasa waarabu wanafahamu kuna damu yao waliiicha zenj,wana mikakati mizito ya kurudi na kuikomboa,sasa sioni mantiki ya kukombolewa kwa hao wakoloni waliobakia zenj,kwa gharama za wazenj weusi!!!!
Kama lengo ni ukombozi,njia rahisi ni hao wapemba kuomba kuondolewa kwa waarabu wote walioko zenj kurud makwao,na hiri ri nia litatusaidia sana.hasa ukizingatia hatuna tunahopata kupitia hawa wakoloni,sana sana wanatuchefua tuuuuuu
Kumekucha
Watz tuamke,hasa wapemba,ukoloni ulitutesa sana tena sana,hatuna haja ya kushabikia mwarabu au mjerumani na mreno,tazameni yaliyo bora kwenu,kumbukeni damu za weusi zilimwaga kwa wingi,leo hii tunajivunia ardhi tulionayo.
Dini na waanzilishi wake,visituchanganye kichwa,utu wetu watu weusi ni almasi kuliko kutetea maslahi ya wakoloni.
Black power forever.
 
Mzee mwanakijiji!!
Wapemba wanatamani warudi ktk utawala wa kiarabu kuliko kuongozwa na serikali ya sasa. Mutu mwene akili timamu unaweza tamani kurudi ktk hali ya ukoloni? Ni hatari ngapi ziliwakuta vongozi wetu ktk harakati za kumwondoa mwarabu na usheenzi wao zenj?leo hii mkombolewa anatamani kurudi alikotolewa!!!!

Kama lengo ni ukombozi,
njia rahisi ni hao wapemba kuomba kuondolewa kwa waarabu wote walioko zenj kurud makwao,n

Umesha jipinga na kujichanganya. Sasa rudia tena, rekebisha argument yako ndio tuanze kuchangia on the merits!
 
Hawa bwana mie mashindwa kuwaelewa kama kweli wana dhamira y dhati ya kuondoa matatizo ya watanzania,jinsi walivyo act haraka kwenye suala la hawa wapemba wangeakuwa wana act hivyo na kwenye ufisadi nadhani kila mtu angeogopa kuwa fisadi.Isitoshe maana ya uhaini hawaijui,mie ninaanza uwa hata na wasiwasi na digrii ya mwema.Kutoa maoni uhaini?kuwaambia wapemba warudi kwao si uhaini?tena na kusambaza vikaratasi kabisa.Kwani mbona hapa uingereza scotland wanadai kujitenga lakini Gordon Brown anachofanya ni kuwashawishi kuwa hatua hiyo si nzuri,kwani umoja wa UK unahitajika zaidi.Tena balaa lake hapa kuna pressure group kabisa na baadhi ya wabunge.Na jekina mkapa mliokuwa manadai serikali ya tanganyika katika G55 hamkuwa wahaini?acheni kutuchanganya bwana,mwema kama umeshindwa achia ngazi mkuu.
 
mshawahi kusikia ile hadithi ya askari alieambiwa ampe chai mpemba kwa maana ampige kibao askari alipopigwa mpemba aliinama alipoinuka alimpiga kibao kikubwa zaidi yule askari.

mkuu aliakasirika akauuliza unafanya nn?

akajibu nimrejeshea kikombeche(akimaanisha yeye kanipa chai sasa na mpa kikombe chake)

sasa waunguja kuwarejeshea ndugu zao waliowapa chai kikombe chao imekuwa kosa?

wao wamesema hawatapeleka chakula unguja, hawajakamatwa, wamesema hawatawapakia waunguja kwenye gari zao kimya, hawatapanda meli za smz kimya iwe kurejeshewa kikombe chao tu ndo iwe baaaa?
 
tokea walipofika makwao wazee wetu wamesema nn? vyombo vya habari havijawahoji?

mkjj jaribu kuorganize mazungumzo nao ili tujue kile ambcho wametumwa na chama chao
 
Ndio maana kule kwenye thread ya wapemba waanza kushikwa....niliandika hawa wapemba wamechagua wakati mbaya kuliko wowote kupeleka hii barua yao....alafu wahandishi wetu wa nyumbani vitu kama hivi hawahoji ila tunavisikilizia kwa watu wa nje.

Mkuu sidhani kama kuna wakati mbaya wa kudai haki inayopotea...

nakuelewa kwenye technical part lakini hii issue lazima iwe kubwa kuliko ilivyo sasa hivi. Nasubiria kuona serikali ikijenga magereza zaidi za kufunga wafuasi zaidi ya 10000 wa CUF.

Patakuwa patamu hapo kwani kila siku TV zote duniani zitakuwa zinaonesha kama vile wanavyoonesha Guantanamo.....
 
Mzee mwanakijiji!!
Wapemba wanatamani warudi ktk utawala wa kiarabu kuliko kuongozwa na serikali ya sasa.
Mutu mwene akili timamu unaweza tamani kurudi ktk hali ya ukoloni?
Ni hatari ngapi ziliwakuta vongozi wetu ktk harakati za kumwondoa mwarabu na usheenzi wao zenj?leo hii mkombolewa anatamani kurudi alikotolewa!!!!
Kutaka kujitenga kwa wapemba si akili zao tuu,ni nguvu toka nje inayotaka kurudisha utawala wake,na hasa waarabu wanafahamu kuna damu yao waliiicha zenj,wana mikakati mizito ya kurudi na kuikomboa,sasa sioni mantiki ya kukombolewa kwa hao wakoloni waliobakia zenj,kwa gharama za wazenj weusi!!!!
Kama lengo ni ukombozi,njia rahisi ni hao wapemba kuomba kuondolewa kwa waarabu wote walioko zenj kurud makwao,na hiri ri nia litatusaidia sana.hasa ukizingatia hatuna tunahopata kupitia hawa wakoloni,sana sana wanatuchefua tuuuuuu
Kumekucha
Watz tuamke,hasa wapemba,ukoloni ulitutesa sana tena sana,hatuna haja ya kushabikia mwarabu au mjerumani na mreno,tazameni yaliyo bora kwenu,kumbukeni damu za weusi zilimwaga kwa wingi,leo hii tunajivunia ardhi tulionayo.
Dini na waanzilishi wake,visituchanganye kichwa,utu wetu watu weusi ni almasi kuliko kutetea maslahi ya wakoloni.
Black power forever.

Unaonyesha huna ulijualo hii ndio tabu ya kukurupuka alimradi upo katika mradi wa kufurahisha wengi na kuwaudhi WaPemba pole sana.
Embu nitajie hatari moja tu unayoijua wewe ambao iliwakuta manamba waliokwenda kulima mashamba ya karafuu na minazi ?
Hivi kwa akili yako ni wapi kwenye waarabu wengi kati ya Zanzibar na Tanganyika hadi burundi rwanda na Zaire ?
Unadai kuondoka kwa Waarabu mimi sitawaita hivyo bali nitasema watu weupe ,itazame Zimbabwe na kuwafukuza wazungu na kuyachukua mashamba ni kitu gani kimefuata na leo Zimbabwe ambao fedha yao ilikuwa sawa na kiwango cha dola ,sema basi au kataa kama Wazimbabwe hawatamani kurudi kwa wazungu ,hivi unajua historia ya Mugabe nini alifanya hata akatwaa madaraka na hao manamba walioiondoa serikali iliyopokea Uhuru Zanzibar kuna tofauti na alichokifanya Mugabe.
Labda kwa vile wewe unaamini walioondolewa Zanzibar ni waarabu na waliopinduliwa ni waarabu ,siwezi kukulaumu kwani ni kutokana na uelewa wako na kasumba ndio iliyokuchanganya ,Karume ni mzaliwa wa Malawi aliwatumia manamba kutoka msumbiji na wengine kutoka Tanganyika ukimchanganya na Karume mwenyewe wote walitumiliwa kufanya mapinduzi au machafuzi ya Zanzibar na walioongoza machafuzi hayo ni vijana wa kiarabu baada ya kufanikiwa machafuzi ndio yakafanywa mapinduzi Karume akawageukia wenzake na kuwatimua kila mmoja arudi alipotoka na wale waliokuwa wenyeji wazalendo akiwabaka mmoja mmoja na kuwasokota na wengine wakizikwa wazima wazima ,hao si waarabu kama unayotaka tuone kuwa waliopinduliwa na kuondosha ni waarabu bali ni wazalendo ambao hadi hii leo waZanzibar jazaba zikiwapanda wanahoji na hata gazeti la Dira liliwahi kuandika makala za watu waliotoweka baada ya machafuzi ambao walikuwa si waarabu bali ni wasomi waliobobea wakizalendo Karume alikuwa si msomi na akihofia wasomi.
Kama kurudisha utawala basi utawala unaotaka kurudishwa ni wa kizalendo na hizo damu zilizomwagika ambao unaona zimekugusa ni damu za waliokwenda kuichafua Zanzibar waliobakia karume akawafurusha ndio nyie wajukuu sasa mna uchungu wakati hamuwezi kuhji wazee wenu walikwenda kufanya nini Zanzibar.
Sasa ukielekea Pemba ambako huko hakukufanyika machafuzi sijui ni mzee wako gani mweusi aliekwenda kuwaondosha waarabu wa huko na alifanikiwa au alipigana na waarabu gani na kufanikiwa kuwaua au kuwakimbiza wangapi ?
Je wale G55 ni kitu gani kilichowasibu ? Unapowasema waPemba usifikiri kutakaliwa kimya ,kwani kama ni hatari walichokidai G55 ni kikubwa zaidi kuliko walichodai WaPemba kaa ufahamu hadi hii leo Mh.Kikwete hajaligusia na kulizungumzia jambo hilo kabisa kwani na yeye atakuwemo humo mwa Wapemba as far as all are counted as part of United Republic of Tanzania.
Kama haitoshi walipofikia G55 ni pakubwa zaidi kuliko walipofikia Wapemba na ushahidi wa madai utaona ushahidi wa Wapemba ni mkubwa zaidi kuliko wa G55 ,na hata Mchungaji Mtikila nae huzuka mara kwa mara na alisema kuwa atahamasisha WaTanganyika wadai serikali yao ,hatukusikia kukemewa wala kukamatwa au kuhusishwa na uhaini , ndugu mkuki kwa ngurue tu ? Na Mtikila hakuwa hata na saini ya mtu mmoja ni mtu aliejiamini ambae anakwenda kivyake vyake na kwa vile si suala dogo Usalama wa Taifa hatujausikia kumteka usiku wa manane ,Pemba si umesikia wamekwenda na madege ya kijeshi kama ilivyoingiliwa Entebe na Wayahudi ,Mtikila haendi kwenye UN wala kutoa taarifa rasmi lakini WaPemba wamekwenda na ushaidi kamili kuwa upindwaji wa haki zao za kimsingi kama binadamu umevuka mipaka wanasema na kuihusisha CUF so Mtikila kwani hana Chama G55 hawana Chama mbona hatukusikia kukurukakara za madegeya kijeshi na magari ya deraya kwa nini waPemba wakiwa na signature za watu elfukumi mkononi huoni kama haki zao za kimsingi zimekiukwa ,ingawa umewaona hawana akili timamu lakini kipimo ulichowapimia naona hakilingani na hoja zao ,muarabu au mkoloni gani anatamani kurudi Pemba ? Au umikusudia hawa koko tulionao mitaani ambao nao wanakula ugali kwa papa na mlenda ? Kama ulivyojaribu kusema kinachowafanya WaPemba watumie sheria kudai ni kwa ajili ya maslahi yao wao na vizazi vyao mambo ya kupigwa na kubakwa kila unapofanyika uchaguzi mkuu hawayajaona kwa kile unachokidai cha kufanyiwa wakoloni weupe bali marungu na risasi za moto huishia katika miili yao kwa kumueka mkoloni mweusi.
 
Mzee mwanakijiji!!
Wapemba wanatamani warudi ktk utawala wa kiarabu kuliko kuongozwa na serikali ya sasa.
Mutu mwene akili timamu unaweza tamani kurudi ktk hali ya ukoloni?
Ni hatari ngapi ziliwakuta vongozi wetu ktk harakati za kumwondoa mwarabu na usheenzi wao zenj?leo hii mkombolewa anatamani kurudi alikotolewa!!!!
Kutaka kujitenga kwa wapemba si akili zao tuu,ni nguvu toka nje inayotaka kurudisha utawala wake,na hasa waarabu wanafahamu kuna damu yao waliiicha zenj,wana mikakati mizito ya kurudi na kuikomboa,sasa sioni mantiki ya kukombolewa kwa hao wakoloni waliobakia zenj,kwa gharama za wazenj weusi!!!!
Kama lengo ni ukombozi,njia rahisi ni hao wapemba kuomba kuondolewa kwa waarabu wote walioko zenj kurud makwao,na hiri ri nia litatusaidia sana.hasa ukizingatia hatuna tunahopata kupitia hawa wakoloni,sana sana wanatuchefua tuuuuuu
Kumekucha
Watz tuamke,hasa wapemba,ukoloni ulitutesa sana tena sana,hatuna haja ya kushabikia mwarabu au mjerumani na mreno,tazameni yaliyo bora kwenu,kumbukeni damu za weusi zilimwaga kwa wingi,leo hii tunajivunia ardhi tulionayo.
Dini na waanzilishi wake,visituchanganye kichwa,utu wetu watu weusi ni almasi kuliko kutetea maslahi ya wakoloni.
Black power forever.

Jamaa wewe una ubongo wa Kuku, pima yanayotokea halafu ufikie tamati ya hayo unayoyasema - wewe unakujua Pemba au unaambiwa tu na kusikiliza propaganda za CCM. Kwa nini sababu walizozitoa kuwa ni tosha ya madai yao. Hao waarabu unaowasema umesikia wanatawala au wana influence katika nchi gani huko kwao, kwa nini wasitafute nci ya Kiarabu ambayo ina matatizo wakataka kuwatawala?

Ukiambiwa ujiambiwe na mkoloni ujue hana rangi angalia Zimbambwe wanavyofanya na mwafrika mwenzao au yalofanyika Rwanda na Burundi alikuwa mtu mweupe?

Propaganda za CCM zishapitwa na wakati kwa mtu mwenye kufikiri kidogo tu, kama wewe bado jaribu.
 
Kuna kifungu cha katiba kinachosema Kiongozi akiwagawa wananchi anakuwa ni mhaini kwa kutumia kifungu hicho raisi karume ni mhaini.
Mlioihifadhi katiba embu kiwekeni hicho kifungu nimetafuta lakini bado sijakiona lakini nimeambiwa kimo tena kwenye katiba zote mbili ile ya Muungano na ile ya Zanzibar ,kama hiki kifungu kimeoneka tafazalini kiwekeni hapa kinawza kutumika kumfungulia kiongozi kesi ya uhaini.CCM wakishituka watakifuta.
 
Back
Top Bottom