Polisi kanda maalum tarime wamezuia mkutano cdm leo.

OMUSILANGA

JF-Expert Member
Jan 25, 2012
384
227
Ndiyo wakuu! Katika hali ya kuendelea kutapatapa kwa serikali ya ccm wakati miti yote inateleza , imejitokeza tena leo ktk wila ya ya Rorya baada ya polisccm kuzuia mkutano wa hadhara wa cdm ktk kata ya Nyathorongo kwa kisingizio cha mgomo wa walimu. Mikutano hii ni operation inayo endelea jimboni Rorya ktk kuendeleza harakati na kutoa elimu ya uraia kwa wananchi chini ya uratibu wa Kamanda Odelo Odelo pamoja na wapiganaji wengine. Kutapatapa huku mara ohoo! Suala liko mahakamani, kufunga magazeti (mwanahalis) pamoja na vitisho kamwe si suluhu kuelekea Tanzania tuitakayo. Waungwana wanasema "SIKU MJINGA AKIJITAMBUA, MWEREVU YUPO MATATANI ". Pamoja sana makamanda,mpaka kieleweke.
 
Ni sawa na kuzuia mafuriko! Bado kidogo watasombwa na kusahaulika!
 
mmh kwa stahili hiyo ipo siku watazuia mkutano na sababu watasema kuwa " Raisi amesafiri"
 
Back
Top Bottom