Polisi JWTZ na Arumeru kulikoni

Mar 2, 2011
86
29
Kuna jamaa hapa ananihabrisha Kuwa katika Kata 17 za Arumeru kila Kata kuna polisi wanne na wanajeshi wanne wamepangishiwa nyumba watu mlioko Arumeru ni ya kweli hayo nakwanini iwe kipindi hiki cha uchaguzi
 
duh kama ni kweli hii kitu ni hatari, je, mafisadi na majambazi yanawindwa hivyo? Why use such kind of force?
 
Ni Hatari Saaana!!!!

Lolote na liwe, Sioi anatangazwa mshindi.

faulu zote zitachezwa mchana kweupe bila kujali chochote

Watu wataumizwa sana, na wengine watakufa... Ni hatari kuliko

Chadema, please be careful.

Kuna mamlumki wameandaliwa waje kufanya fujo, kuna mambo mengi. Wait and See!!

Ee Mwenyezi Mungu, tuepushe na Balaa. Angamiza mafisadi wote. Linda wana wako wanaotetea haki za wananchi wanyonge.
 
hawa magamba wanajua sana kucheza rafu, askari FFU difenda 5 kutoka ukonga dsm na gari za ***** halaf wasishinde
 
kuna watu wamevishwa uniform na kadi feki za chadema watafanya fuja kwenye mikutano ya ccm halafu TBC na Star TV watanyesha.

Sifahamu chadema wamejiandaa vipi kilikwepa hili zengwe!!!
 
Kuna jamaa hapa ananihabrisha Kuwa katika Kata 17 za Arumeru kila Kata kuna polisi wanne na wanajeshi wanne wamepangishiwa nyumba watu mlioko Arumeru ni ya kweli hayo nakwanini iwe kipindi hiki cha uchaguzi

Kwa kutumia akili yako nini impact ya hao polisi kila kata?
 
Hizo ni tetesi tu, na kwenye kweli uongo hujitenga.
 
duh kama ni kweli hii kitu ni hatari, je, mafisadi na majambazi yanawindwa hivyo? Why use such kind of force?

Its more than a force. Ni ujanja ujanja wao tu. Mwisho wa siku ni kwamba huko kaskazini mwa nchi yetu hawana mzaha hata chembe.
 
Hao wanachama feki dawa yao wakifanya fujo tu wakakamatwa Cdm nayo ihakikishe wanafikishwa mahakamani wafungwe!
 
Kwa kutumia akili yako nini impact ya hao polisi kila kata?

Changanya na zako kisha utapata jibu au unataka kuongeza idadi ya posts. We wapewa taarifa kisha wambeza anayekupa taarifa. Ama kweli hakukosea aliyesema 'ukubwa wa pua si wingi wa kamasi'. Kama unataka jibu angalia jaribu kupata uzoefu wa chaguzi nyingine ndogo zilizopita na namna mambo yalivyokuwa pale ambapo nguvu kupita kiasi na ujanja ujanja mwingine ulipotumiwa na Chama cha Mapinduo.Kama si umwagaji damu basi tifu zito lilitokea. Hatukatai kwamba ulinzi ni muhimu katika nyakati hizi ila isiwe ni njia ya hawa jamaa kufanya wanachotaka.
 
Polisi na JWTZ hakikisheni mnamlinda Rais wetu Kamanda lema kwani mafisadi wanajua kuwa yeye ni moyo wa chama chetu Chadema. LONG LIVE MY HON, KAKA, KAMANDA G. LEMA.
 
Kuna jamaa hapa ananihabrisha Kuwa katika Kata 17 za Arumeru kila Kata kuna polisi wanne na wanajeshi wanne wamepangishiwa nyumba watu mlioko Arumeru ni ya kweli hayo nakwanini iwe kipindi hiki cha uchaguzi
Ni sawa CHADEMA wasije wakamwagia watu tindikali kama ilivyokuwa Igunga.
 
kuna watu wamevishwa uniform na kadi feki za chadema watafanya fuja kwenye mikutano ya ccm halafu TBC na Star TV watanyesha.

Sifahamu chadema wamejiandaa vipi kilikwepa hili zengwe!!!

Ha ha hilo nadhani halitawatisha makamanda wetu kwani siku zote haki itasimama
 
Kuna jamaa hapa ananihabrisha Kuwa katika Kata 17 za Arumeru kila Kata kuna polisi wanne na wanajeshi wanne wamepangishiwa nyumba watu mlioko Arumeru ni ya kweli hayo nakwanini iwe kipindi hiki cha uchaguzi
mkuu ni kweli kuna wanajeshi wageni wameingia arumeru mashariki.
 
Kuna jamaa hapa ananihabrisha Kuwa katika Kata 17 za Arumeru kila Kata kuna polisi wanne na wanajeshi wanne wamepangishiwa nyumba watu mlioko Arumeru ni ya kweli hayo nakwanini iwe kipindi hiki cha uchaguzi

Huo ni mkakati wa kuongeza wapiga kura mamluki kutoka hayo majeshi, kuweni makini!
 
Back
Top Bottom