Polisi igeni Misri na Tunisia...

YanguHaki

Senior Member
Oct 11, 2010
129
9
Jeshi la Polisi nchini limekosa utaalamu wa namna ya kushughulikia mikusanyiko mikubwa na maandamano makubwa hapa nchini. Mara nyingi huibuka na hadithi ambazo haziingii kwenye akili ya mwananchi wa kawaida. Kuzuia maandamano, kwa upeo wangu, ni kukiri kushindwa hasa pale ambapo sababu zinazotolewa zinakuwa nyepesi nyepesi. Kwa hakika jambo hili ni chanzo kikubwa cha tuhuma kwamba jeshi letu la Polisi linatumiwa na Chama tawala.
Rai yangu ni kwa IGP kupeleka vijana wake kwenye mafunzo ya muda mfupi kwa nchi nilizozitaja hapo juu.
Mungu Ibariki Tz.
 
Back
Top Bottom