Polisi hawajawahi kununua risasi rashasha

Gurudumu

JF-Expert Member
Feb 5, 2008
2,349
261
I am just thinking aloud. Kwa nini tangu vyama vingi vimeanza tz sijawahi kuona wala kusikia polisi wezima maandamano kwa kutumia risasi mpira. Kama wamewahi kutumia tafadhali mnijuze.

Nafikiria zaidi kwamba majeruhi wote wa mauaji yaliyofanywa na polisi Arusha ni risasi za moto.

Huko Mbeya nako leo tunaambiwa wametumia risasi za moto, wakati bado damu za Arusha hazijakauka.

Am I right kwamba polisi hawana risasi mpira? Kama ni kweli, ni kosa la nani? Je, huyo mhusika siye aliyesababisha matumizi haya ya kila siku ya risasi za moto dhidi ya raia? Na atafikishwa mahakani lini?
 
Jamani nisaidieni basi, polisi wanazo risasi za rashasha?
 
Zinanunuliwa nje ya Nchi, zile za moto zinatengenezwa nchini, Tuna uhana wa fedha za kigeni na tunazihitaji vilivyo! hivyo basi wacha kitufae chetu!! Na mwisho wa siku tutaanza kununua magongo ya kutembelea kwa wahanga kutoka hukohuko nje! :Cry:
 
Kila kitu kinanunuliwa nje ya nchi, sasa wamenunua hizo risasi? Kuna mtu mwenye ushadi tukio ambalo wamewahi kuzitumia?
 
Back
Top Bottom