mgawanyo wa kazi huo!

its true so ukiwa not satisfied basi acha,ukiwa umepata degree it means una wigo mpana

mgawanyo wa kazi huo!
Kulinda ni jukumu la polisi sasa mkuu yeye hataki kulinda anataka akae ofisini tu!!! Usione watu tunavaa magwanda yamelundikwa nishani na mawe tumepitia hatua hizohizo mkuu. Jeshini uvumilivu, utii na heshima ndio silaha. Sasa kama wewe unaanza kunung'unika hivi sasa usitegemee kupata kitu huko.
wito! kaitwa kuwa polisi huyo!

its true so ukiwa not satisfied basi acha,ukiwa umepata degree it means una wigo mpana
bado wanatumia mifumo ya kale nchi zote zimeshatoka huko na wanatumia mfumo wa kurusha vyeo watu wenye elimu kwani si kitu cha ajabu kuona mtu mwenye masters akipewa cheo kikubwa kwani uwezo wa utawala tayari anao na vyeo vikubwa jeshini vinaitaji uwezo wa utawala