Polisi awania uongozi NEC ya CCM, akamatwa...

Hao si ndio wenye tuhuma za vyeti feki waweza kuta jina la kazin ni lamalehem nduguyake baada ya kufarik akatumia cheti chake kuomba kazi.ila jina lake kamikli ni la huyo joel bendela........kaz kwelikweli.
 
Wapo wangapi wa aina yake ambao wamepita katika chaguzi zetu. Huyo amebainika kwa kuwa mjinga na kuanza kutumia na majina ambayo siyo yake. Huko NEC kuna nini ambacho huku nje hatukijui hadi mtu aamuwe kuacha kazi yake ili aweze kuwa mjube wa NEC?

Hili la msingi. Huyu ni mmoja wapo tu na bahati mbaya kajulikana, inawezekana wapo wengi sanaaaa wa aina hii. Tibaigana kajiunga lini CCM na James Kombe??
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom