Polisi ARUSHA wanatumia magari ya polisi kinyume na sheria

LENGIO

JF-Expert Member
Apr 9, 2012
1,096
508
Mimi nashangaa jmajuzi msafa mrefu ukiongozwa na landrover ya polisi kuzuia magari imewasha taa zote nikadhani waziri au makamu wa rais .kumbe mchungaji kwa jina jo dave .nabii .kisa kupewa chochote .nashangaa mkuu wa mkoa anatembea peke yake na dereva .misafara ya nini
 
Mbona kitu ya kawaida sana, na Diamond nae pale Mbagala siku ile mbona hukuhoji? Kachomeni kanisa lake basi
 
mtoa mada hebu Jipange! Nabii GoerDavie kwa Sasa anatumia helicopter toka ofisini kwake Njiro hadi kanisani kisongo.. Motorcade alikuwa anatumia zamani na huwa anawalipa polisi kwa ulinzi huo na kuwawekea mafuta
 
Mimi nashangaa jmajuzi msafa mrefu ukiongozwa na landrover ya polisi kuzuia magari imewasha taa zote nikadhani waziri au makamu wa rais .kumbe mchungaji kwa jina jo dave .nabii .kisa kupewa chochote .nashangaa mkuu wa mkoa anatembea peke yake na dereva .misafara ya nini

Ninawasiwasi kabisa na hiyo Elimu yako vp umesoma shule za Mashambani
 
Hata wewe ukitaka ulinzi binafsi kutoka jeshi la polisi inawezekana, ni ubavu wako tu.
 
mtoa mada hebu Jipange! Nabii GoerDavie kwa Sasa anatumia helicopter toka ofisini kwake Njiro hadi kanisani kisongo.. Motorcade alikuwa anatumia zamani na huwa anawalipa polisi kwa ulinzi huo na kuwawekea mafuta

kweli hizi nyakati za mwisho tutaona na kusikia mengi!
 
Mimi nashangaa jmajuzi msafa mrefu ukiongozwa na landrover ya polisi kuzuia magari imewasha taa zote nikadhani waziri au makamu wa rais .kumbe mchungaji kwa jina jo dave .nabii .kisa kupewa chochote .nashangaa mkuu wa mkoa anatembea peke yake na dereva .misafara ya nini

Vipi ile habari uliyotumwa kwa ujira wa buku bee kumchafua Lema umefikia wapi?
Upumbavu mwingine unakera sana jamani.
Ile post ya jana kuwa Lema kawatapeli wananchi wa Terat eneo la shamba kwa ajili ya hospitali, na kuwa amejimilikisha mwenyewe ulishindwa kuweka ushahidi, na hii hapa umeshindwa kuweka picha tukuamini vipi?
Kama huna vielelezo kakojoe ukalale!
 
kisheria hata wewe unaweza kwenda kuomba escort/ulinzi kwa polisi unalipia na unafanyiwa hivyo,tafuta hela kijana acha wivu wa kike(By Mkapa)
 
Back
Top Bottom