Polisi apigwa risasi na kufa

sijui man kwasababu mie naona kuwalaumu polisi wote si vyema wapo wachache ndio ambao wanakosa maadili man!!sema kwasababu watu bado mna hasira na mauaji ya Arusha ndio maana mnasema hivyo ila kwakweli amani ya Tanzania inapotezwa na jeshi la polisi sababu hawaheshimu haki za raia kweli inatia uchungu sana wamekua wababe sana kwa raia na ndio maana watu wanafurahi kweli kuna haja kubwa kwa serikali kulitazama hilo wasichukulie simple kuna siku tyatahamia kwa viongozi!


Serikali ya CCM haielewi kuwa matendo yanayofnywa kwa raia na polisi ni makaa yanayowasha chuki baina ya raia na polisi; serikali hiyo hiyo inashau kuwa imeshindwa kuwapa polisi nyumba kambini, wamejaa huku uraiani kwetu, mambo yatakuwa mambo mwishowe itazuka vita baridi kati yetu na polisi!!!

JK na watu wake hawataki kusoma alama za nyakati....
 
Nasoma habari mbaya ya askari polisi kuuwawa na jambazi. Mungu aiweke pema roho ya marehemu. Nasoma raia wana CHUKI KALI juu ya polisi. Jk, Pinda, Nahodha na Mwema mnaona sawa - yatakwisha tu. Ndiyo maana mnayaongelea kwa kejeli hamuoni mmepanda mbegu mbaya katika jamii. Msiba kwa mwenzio .... Historia itawahukumu
 
Huyu polishi ndio yule aliyempiga risasi Denis... kama ndio yeye nampo....huyu kibaka kwa kul.... kisas...
 
Nipo mkuu ila naona watu washajulishwa kila kitu kuwa yule askari alikuwa na 50 zake hadi kifo kinamkuta mkuu. Nilichokiona ni kuwa watu wanachuki sana na Polisi kiasi cha kufikia kushabikia kifo kama vile wanamkomesha IGP Mwema.
Mungu ailaze roho ya marehemu. Amen.

RIP askari wa IGP Mwema na mwanachama mtiifu wa CCM!

Kuna jamaa alisema MALIPO NI HAPAHAPA DUNIANI.
Yes it can be sometimes true or false. Kwa hili la huyu kamanda mtiifu wa CCM na kijana wa IGP Mwema inaweza kuwa kweli unapolihusisha TUKIO HILI NA MAUJI YA YA RAIA WASIO NA HATIA 5/1/2011.
Let's ask ourselves some few questions like:Of all the people in Arusha why the deceased policeman was single out to be killed? Was the deceased armed while the said robbers shoot him?

God sometimes has got His own method of eliminating the enemies and killers of people. Wana Israel wana principle moja kuwa WAPALESTINA WAKIUWA MWISRAEL MMOJA BASI LAZIMA WAPALESTINA 10 WAUWAWE.

Arusha Polisi wameua raia 3 na kule Mbarali raia 1,raia wasio na hatia.Sina uhakika na ratio itakavyokuwa.Je,itakuwa 1:1 au itakuwa kama ya Waisrael 1:10?Na siyo lazima iwe Arusha na Mbarali peke yake. It can happen anywhere any time to those IGP Mwema hopeless policemen and killers!
 
Aliyetufikisha hapa ni JK na RA wakisaidiwa na EL pamoja na Chenge kwa ridhaa ya Ben Mkapa.

Usimsahau J.K. Nyerere kuwa ndiye aliyemleta Ben Mkapa baba wa ufisadi hapa Tanzania kwani yeye alianza kuitumia Ikulu kufanya biashara na kujimilikisha rasilmali za taifa.
 
siamini mtu unafurahia binadamu mwingine kutoa roho ya mtu
kwa police hata mi najionea sawa,hivi umeshawai kuona mbwembwe zao hao vilaza,mara ngapi umeckia wakiua?kwakuwa bnadam wote 2takufa,wacha wawafe,cjauzunika
 
mh nahisi alikua na ahadi fulani na hao wauwaji ,wakapanga wakutane wapi ili ahadi itimizwe.Maskini kumbe ahadi ya kifo.

Mwenyezi mungu ailaze pema peponi roho ya mrehemu AMINA. mimi:A S 20: kwani hatujui kifatacho kesho, meaning hakuna anaye ijua kesho.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom