Polisi apigwa risasi na kufa

RIP. Ninalaani kwa nguvu zote mauji ya mtu asiye na hatia awe polisi, mtuhumiwa wa ujambazi, raia anayeandamana kwa amani. Kamwe watanzania tusianze kushabikia vifo vya raia wasio na hatia. Nina hakika kuwa polisi ni ndugu zetu, kama huna ndugu polisi basi utakuwa na jamaa au jirani mwenye ndugu polisi. Kamwe tuache mkondo wa sheria uchukue njia yake. Tusishabikie mauaji maana huwezi jua kuwa next target will be you, hizi chuki zinazoanza kujengeka miongoni hatuna budi kuziacha na kuwa wachamungu sana. Ila pia huu ni wakati wa vyombo vya usalama kuhakikisha tu haviwafurahishi watawala pekee bali pia wanajenga imani ya wananchi juu yao. Tumeona ya Egypt jinsi jeshi lilivyopata heshima kubwa toka kwa waandamani kisa tu hawakutumia vibaya nguvu za virafu vyao. KATIBA MPYA SULUHISHO LA KUJENGA AMANI YA KUDUMU TANZANIA.

Uje basi uwahutubie hayo mawazo yako wana Arusha. Uchungu wa mwana aujua mzazi. kwani polisi walipoua hawakujua kuna ndugu zao kati ya waandamanaji?
hii iwe ya pande zote na siyo polis wakishakamata bunduki basi wanaona uhai wa kila mtu upo mikononi mwao.
 
mh na hii valentine inawezekana alipanga kuchakachua mke wa jamaa, alipomstukia akaamua kumtoa roho!
 
It is called HIT AND RUN very dificult to solve no fingerprint,no any DNA evidence,car probably stolen or had fake number,gun probably obtained illegal,hitman could now be in bujumbura...TOUGH.The colour and model of a car groundless so many same car lets hope the victim had a beef with someone which will help to give a hunch.
 
watu wengine wa ajabu kweli

Jana analamu alqaeda kujilipua au kuua watu ovyo leo anasema safi polisi kauwawa bila hata kupata details kamili .

Let us be consistent. Kitendo hiki kinatakiwa kukemewa. Naamin hata G lema akiongea bungeni atakemea.
A-a-ahaa! Hapa mkuu ndio unazidi kuharibu baada ya kutengeneza sasa hu G Lema anaingije kwenye tukio hili?.
 
watu wengine wa ajabu kweli

Jana analamu alqaeda kujilipua au kuua watu ovyo leo anasema safi polisi kauwawa bila hata kupata details kamili .

Let us be consistent. Kitendo hiki kinatakiwa kukemewa. Naamin hata G lema akiongea bungeni atakemea.

Kwa hili ndo mnamtaka G.Lema atoe tamko? Lema piga kimya wala usi comment chochote.

Mbona mengine humwombi G.Lema atoe comments?
 
When a system in equilibrium is subjected to a change,the system will also try to change so as to halt the effect of that changes until stability is re-attained.Tazama Iraq,Afghanistan etc
Mkuu masika , hii inakubaliana na Le Châtelier's principle , sikujua kama application yake inaweza kuwa extended mpaka kwenye siasa za sisiem .
 
siamini mtu unafurahia binadamu mwingine kutoa roho ya mtu

jamani hii haijakaa vizuri, hakuna cha safi sana, hawa polisi sasa watakuja kama mbogo kwa hiyo wataanza kusakama sana wakazi wa arusha kwa vile mwenzao kauwawa. na watu wasichukulie nila kisiasa kwanza mpaka uchunguzi uwepo wa kutosha
 
Kwa waliowahi kukaa arusha toka miaka ya tisini huu mchezo wa risasi ni kawaida sana.enzi hizo toyota staut iliyosheheni bia za magendo toka kenya inakimbizwa na pasati ya polisi, yaani ilikua mshikemshike,pia enzi za wale kina 'chonjo' waliokuwa wanakwapua magari.
Tukirudi huko patakua hapatoshi.
 
Wacha porojo wewe. Snippers wameshajipanga hapa kazi ndo kwanza imeanza kwa interval utakayoiona na kuisikia. Hakuna cha ujambazi hapa ni kwamba mauaji ya raia Arusha mpaka sasa watu wengi wana maumivu na polisi kuna uwezekano wakahama Arusha kwa jinsi hali itakavyowawia ngumu. Watawindwa kama Swala hadi wawe na adabu kwani wote walihusika kuua kama si kupiga ni kuelekeza na kupanga

mkuu ... naona umevaa miwani ya macho halafu bado unaangalia kwa kutumia magnifying lens .... duu .... sasa ukipewa silencer riffle si utamaliza
 
Wana JF polisi mmoja akiwa katika uniform amepigwa risasi hadi kufa maeneo ya Arusha chini ya mti karibu na stand ya magari ya kwenda Kisongo, Kwamrombo.
Ilikuja gari aina ya RA4 ikiwa imewasha taa kisha baadhi ya magari yakapisha wakijua labda ilikuwa na dharura, lakini walipofika alipokuwa askari huyo alipokaa basi alishuka jamaa mmoja na kumpiga risasi kwa bastola kisha kuingia ndani ya gari na kutokomea kusikojulikana.
Hadi napost thread hakuna habari za kukamatwa kwa jamaa hao ambao haikujulikana walikuwa majambazi au walikuwa na visasi nae marehemu.

Da au usikute wako syndicate moja sasa wakashindwa kuelewana kwenye mafungu!!! Nawaza kwa mbali tu, ha ha ha. Sipendi kufa ila kwa askari basi tena, sina imani nao kabisa!!! Utafikiri si binadamu wala ndugu zetu!!! Niliipenda ile ya Misri jeshi na baadhi ya askari walikataa kabisa kuwadhuru wananchi, wakijitetea chini chini kuwa "We can't kill our country men, seen a blood shed!!! "
 
ni kweli lakini furaha yangu iko pale pale, Awe amepaliwa na mfupa akafa awe amepigwa risasi kafa kwa uzinzi imradi polisi...kwangu mimi naona safi tu.

Sijui ukienda home ukaambiwa ni mtoto wa babayako mkubwa utasema nini sijui?
 
The fact that a car came rushing with its light on suggest that the killer had their target undersurveilance,they knew he was on that spot to came rushing like that suggest they personal know the victim that he has habit to be on that spot at that time or it was a well cordnated attack .someone might have been on his tail and contacting the killer.police must go after phone record they should trace every call made within 50 metre of the crime scene at the time of the attack.
Those record can be obtained from mobile phone service provider once the number obtain it could provide a link to the crime. The hitman though was not a pro ,the mistake he made geting out of a car and go to shoot the victim ,any witness could give his description to the law.if in usa a surveillance camera would have picked him.a pro hit while a car is moving.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom