Elections 2010 Polisi akamatwa na vitambulisho vya kupigia kura

Meale

Member
Nov 24, 2009
91
0
Askari polisi wa Moshi mjini amekamatwa na vitambulisho kadhaa vya kupigia kura. Polisi walipata taarifa kutoka kwa wasamaria wema juu ya kuwepo kwa kadi hizo.

chanzo: tbc1
 
Naangalia TBC sasa hivi anahojiwa kamanda wa polisi kuhusu tukio la askari wake kukamatwa na shahada sita, hebu mwenye taarifa zaidi atujuze, nimeikuta katikati hii taarifa! nawakilisha
 
Naangalia TBC sasa hivi anahojiwa kamanda wa polisi- LUCAS KUSIMA kamishna msaidizi kuhusu tukio la askari wake kukamatwa na shahada sita, hebu mwenye taarifa zaidi atujuze, nimeikuta katikati hii taarifa! nawakilisha
 
Naangalia TBC sasa hivi anahojiwa kamanda wa polisi kuhusu tukio la askari wake kukamatwa na shahada sita, hebu mwenye taarifa zaidi atujuze, nimeikuta katikati hii taarifa! nawakilisha
 
Yesu na maria!! nasikia na Ilala kwa zungu anashahada kama 300 anatafuta watu anawapanga wapige kura, kumbe baada ya wafurukutwa kujitoza asb na mapema, baadaye inaonekana sasa thithiem wanapanga hujuma kiulaini make wafurukutwa wako majumbani sasa!! Hii imekaaje?
 
Inashangaza sana wakati polisi ndio wenye hali ngumu sana ya maisha,yasiyo na staha wala heshima lakini sasa ajabu wao ndio wahujumu wakubwa.shame on u.
 
Duh! Polisi iweje hiyo policy mpya ya mmoja kuwa na kadi nyingi hivyo. Vipi, kama atakamatwa raia akiwa na vitambulisho viwili na akaangukia mikonono wa polisi mwenye policy za kabila hii, hali itakuwaje hapo kituoni!
 
Naangalia TBC sasa hivi anahojiwa kamanda wa polisi kuhusu tukio la askari wake kukamatwa na shahada sita, hebu mwenye taarifa zaidi atujuze, nimeikuta katikati hii taarifa! nawakilisha

Bwana Elli wewe ndiyo unaangalia badala ya kuleta habari unataka sisi tupate wapi?
 
Naogopa sije kuwa hizi geresha za kupoteza lengo ,kamata kamata ya polisi na kuwajibika kwao kikazi ni kuhamisha mawazo ,lazima tuwe macho ,hapa inawezekana kabisa ikawa panachezwa draft na mkizubaa jamaa wanakula dabo !!!
 
Back
Top Bottom