Polisi achezea kisago

nashukuru sana haopolisi kichapo.naomba umma wa watanzania waelewe hao sii mapolisi ila ni majambazi kudhibitisha haya tuulizeni tuliokuwa Arusha jinsi polisi walivyo tuibia. hawa wameruhusiwa na mwema kuibia raia hivyo wananchi popote ukutapo polisi ukipata nafasi ya kumshugulikia usimwache ruka nae
 
Mbona Dar polisi wanapigwa na kuvuliwa nguo ,yaani anakamatwa anapigwa kisha anaambiwa avue nguo na kuondoka hapo akiwa amebakizwa na chupi tu ,anafika kituoni wenziwe wanamkatia mbavu.True story.
 
safi sana. polisi akipigwa namshukuru mungu kwani hakuna swala la polisi jamii.polisi wa tz ni wezi umkutapo popote mshughulikie kwani hawa ndio chanzo cha rushwa, kichaka cha majambazi,na hawa ndio wadhulumu haki wakubwa.
 
tatizo la polisi hawajui na wao ni sehemu ya wanajamii. hapa arusha tumekubaliana ikitokea polisi akipata shida hatutamsaidia.pia hatutakuwa na ushirikiano wowote wa kijamii na mtu anaeitwa polisi kwani unawezapigwa risasi. hawa wamepewa bunduki na wanauwa hovyo.
 
Back
Top Bottom